Sibuka FM
Sibuka FM
4 April 2024, 17:31
Jamii ya wafugaji na Wahadzabe wamenufaika na mafunzo ya Sheria ya Ardhi kwa lengo la kuzisaidia jamii hizo kujua hatua za utatuzi wa migogoro kwenye maeneo yao. Na,Alex Sayi Shirika la DANMISSION kwa ushirikiano na kanisa la KKKT Jimbo la…
4 April 2024, 15:02
Watendaji wote waliotajwa kula fedha za maendeleo zitokanazo na michango ya Wananchi ndani ya siku kumi na Nne warudishwe Ili kuja kujibu tuhuma na kufanya makabidhiano Mbele ya Serikali ya Kijiji. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge ametoa siku…
3 April 2024, 10:20
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Enock Kaminyoge amewataka Wananchi wilaya hapo kujitokeza kwa Wingi katika Mikutano ya Hadhara inayoitishwa na Viongozi wao wa Vijiji na kata ili kutoa kero zao na changamoto mbalimbali zinazowakabiri. Mh Kaminyoge …
28 March 2024, 10:19
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa – LAAC imeipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa Usimamizi Mzuri wa Fedha za Miradi ya Maendeleo zinazoletwa Wilayani hapo. Akitoa Pongezi hizo mara baada ya kutembelea Jengo la …
21 March 2024, 19:05
Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA)Wilayani Maswa Mkoani Simiyu wanatarajia kuzifanyia marekebisho Barabara zenye mtandao wa Km,227.21 zilizoathiriwa na Mvua za msimu. Na. Alex Sayi Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imeendelea na matengenezo ya barabara…
13 March 2024, 11:35
Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu Mh Aswege Kaminyoge  ametoa maagizo  kwa watendaji na viongozi wengine kusikiliza kero za za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi na siyo kusubiri viongozi wa ngazi za juu kuja kusikiliza kero ambazo zingetatuliwa na viongozi …
13 March 2024, 10:44
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh Aswege Kaminyoge  amemshukuru  Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zana za kilimo kwa wakulima wa kata ya Senani ili kumsaidia mkulima katika kuongeza tija katika zao la pamba. DC Kaminyoge ametoa shukrani hizo wakati wa kuzindua zana…
11 March 2024, 17:43
Na,Alex Sayi-Simiyu Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania TAWA Kanda ya Ziwa, wabainisha kuwa  uwepo wa mtawanyiko wa Maji kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha kwa hivi sasa kumechangia ongezeko la Mamba mto Simiyu hivyo kuhatarisha maisha ya wananchi wanaoishi karibu na…
10 March 2024, 08:38
Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…
1 March 2024, 20:07
Jumla ya maafisa usafirishaji 96 wamepatiwa  vyeti vya udereva na  leseni za uendeshaji vyombo vya moto ikiwemo pikipiki na magari madogo baada ya kufuzu mafunzo ya uendeshaji wa vyombo hivyo. Akikadhi vyeti  hivyo  na leseni , Mkuu wa Wilaya ya …
1 March 2024, 17:03
Jamii ya kihadzabe inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…
28 February 2024, 11:15
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mh, Aswege Kaminyoge ametoa ufafanuzi kuhusu Changamoto ya Kupanda kwa bei ya Sukari na kutoa maelekezo ya Serikali kuhusu upatikanaji wa Bidhaa hiyo. Kaminyoge amesema hayo wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa Maswa na …
25 February 2024, 18:29
Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu imefanikiwa kuokoa fedha  zaidi ya shilingi milioni sabini zilizotaka kufanyiwa ubadhirifu katika Chuo cha Maafisa Tabibu wilayani  Maswa. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani …
25 February 2024, 18:14
Chama cha Demokrasia na Maendeleo  Chadema Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa kimejipanga kuingia kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2024. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Simiyu  Musa …
18 February 2024, 15:43
Na Nicholaus Machunda Baraza la Madiwani la Halmashauri ya  Wilaya ya Maswa kwa Kauli moja limeridhia kuvunjwa kwa Mamlaka ya Mji mdogo Maswa kwakushindwa kukidhi vigezo na Kuazimia kuanzisha Mchakato wa Kupata Halmashauri mbili.https://maswadc.go.tz/ Azimio hilo lilitolewa na Mkrugenzi Mtendaji …
8 February 2024, 20:50
Watoto wenye  umri wa kuanzia miezi tisa hadi chini ya miezi hamsini na tisa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela katika kampeni ya kitaifa ya siku nne. Na,Daniel Manyanga Zaidi ya Watoto Laki Moja walio na umri chini…
7 February 2024, 13:56
Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu Mhe  Aswege Kaminyoge amewatahadharisha Wafanyabiashara wa Mazao ya Nafaka utoroshaji na kukwepa kulipa Ushuru wa Mazao hayo. Mhe Kaminyoge amesema hayo katika kikao cha Wadau wa Kilimo na Mazao Mchanganyiko kilichofanyika Katika ukumbi wa …
5 February 2024, 11:58
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Kaminyoge amekanusha taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari  kuwa  nyumba 112 zilibomolewa na  mvua kubwa iliyonyesha Tarehe 27/01/ 2024 katika kata ya Mbaragane   na kusema kuwa   ni nyumba 5 tu zilizobomoka…
1 February 2024, 20:09
Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe, Aswege Kaminyoge amewataka wadau wa Sheria kuendelea kutoa Elimu kwa Wananchi kwani wanawategemea sana katika Utoaji wa Haki. Hayo ameyasema katika kilele cha Wiki ya Sheria katika Viwanja vya Mahakama ya Wilaya …
1 February 2024, 14:15
Wahadzabe wapatao  (360 ) waishio kwenye kaya (46) kijiji cha Sungu Kata ya Mwabuzo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu hawana makazi rasmi. Na, Alex Sayi. Wahadzabe waishio pembezoni mwa pori la akiba la Makao lililopo Wilayani Meatu Mkoani Simiyu wameiomba Serikali…
Establishment Â
Radio SIBUKA FM was incorporated as SIBUKA FM LIMITED in April 2004 and went on air on 5th July 2004 from its base station at Maswa, now SIMIYU Region (formerly Shinyanga, Tanzania). TV SIBUKA went on air on November 18th, 2010 through Star Times Media Multiplex.
The Objective
To feature public-demanding TV programs that captivate the minds of viewers of all ages, fulfilling the needs of society at large. TV programs ranging from news, commercials, soaps, drama series, family entertaining movies, bongo movies, Western movie hits, sports, knowledge, gospel, documentaries, talk shows, reality TV, and music including Western country music, which target all market segments.Â
Region Coverage(Sibuka Fm)
 Radio Sibuka FM hears  about  95 percent of the Simiyu region through the frequency of  97.0 MHz from the Maswa district  as well as neighboring areas of the Simiyu region while being listened to by more than Six hundred thousand people, according  to a study conducted in 2016 by Star Times Media  Multiplex
National Coverage (Sibuka Fm)
Radio SIBUKA FM coverage (approximately 75% of the mainland Tanzania territory) extends from its Maswa base station (97.0 Mhz) to ten (10) booster stations across the country. These include Shinyanga (104.9 Mhz), Bukoba ( 92.6 Mhz), Mwanza (95.5 Mhz), Dar es Salaam (94.5 Mhz), Kigoma ( 97.6 Mhz ), Mbeya ( 97.6 Mhz), Mtwara ( 96.2 Mhz), Dodoma (92.0 Mhz) and Arusha (104.6 Mhz ), and Geita (96.2 Mhz) and is listened to by more than 5 million people on the Tanzania Mainland, according to a study conducted in 2016 by Star Times Media Multiplex