Pangani FM

Recent posts

30 May 2022, 6:54 pm

Kilimo cha umwagiliaji chawanusuru wanawake dhidi ya ukatili Pangani.

Baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la mauya lililopo katika kijiji cha mseko wilayani pangani mkoani Tanga wameshukuru kwa kuwezeshwa kufanya kilimo hicho kwa faida kwani kwa sasa kimekua kikichangia kuwainua kiuchumi. Wakizungumza na Pangani FM…

24 May 2022, 8:08 pm

Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.

Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid].    …

14 May 2022, 5:43 pm

Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…

15 April 2022, 7:46 pm

Wanafunzi watakiwa kuwa makini kipindi cha likizo ya Pasaka.

Wito umetolewa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Pangani mkoani Tanga kuwa makini na kuzingatia tahadhari zote dhidi ya vishawishi vibaya katika kipindi hiki ambacho wapo kwenye  mapumziko mafupi ya sikukuu za Pasaka.   Wito huo umetolewa…

4 April 2022, 4:59 pm

Halmashauri ya Pangani yazindua kampeni ya upandaji miti.

Halmashuri ya wilaya ya pangani mkoani Tanga imezindua kampeni ya upandaji  miti kiwilaya kwa kuhimiza wananchi kupanda miche ya miti mitano kwa kila kaya na kuhakikisha miche hiyo inatunzwa ilikuleta ustawi himilivu wa mazingira . Wakizungumza wakati wa kuzindua kampeni…

29 March 2022, 6:04 pm

DRC kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki

Hatimaye miezi mitatu baada ya Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki kuridhia ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na jumuiya hiyo, baada ya kujiridhisha na kuona zipo faida za moja kwa moja…

28 March 2022, 4:14 pm

Jela miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono watoto Pangani.

Mahakama ya wilaya Pangani imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Sideti Itekno baada ya  kupatikana na shataka la  kufanya udhalilishaji  wa kingono. Katika hati ya mashtaka iliyowasilishwa na polisi mahakamani hapo ilidaiwa kuwa mnamo tarehe 7 mwezi wa 2 mwaka…

23 February 2022, 8:05 pm

Tembo ahisiwa kuua mtu Pangani

Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina Shaa Omari mwenye umri wa miaka 30 amekutwa akiwa  amefariki katika eneo la Kumba Mtoni lililopo wilayani Pangai Mkoani Tanga. Pangani FM imezungumza na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani bwana Cristopher Msofe ambaye amethibitisha…

22 February 2022, 7:13 pm

Majeruhi ajali ya Saadani wapokelewa Pangani.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga Dkt. HASSANI MSAFIRI amesema Majeruhi Wawili katika Ajali iliyotokea Jana maeneo ya SAADANI wamepewa Rufaa ya kwenda Hospitali ya Mkoa BOMBO na wengine bado wanaendelea kupatiwa Matibabu Hospitalini hapo. Akizungumza…

Coverage

Comprising a Pangani cultural diversity of the radio reach a population of 2,045,205 ranging from community members to of 33 villages of Pangani district from small business entrepreneurs, local government representatives and neighboring districts of Muheza, Tanga Town, Korogwe, Handeni, Lushoto, Amani and some parts of Zanzibar.

Vision

Pangani district is a place where people enjoy good health and sociol economic well being and are empowered to utilise the benefits of their culture.

Mission

To be committed to a development process that facilitates the Pangani communities towards promotion and ownership of their development agenda through participatory program approaches and collaborations with partners.

“Facilitator for development approaches that listen to people and engage them to find solutions for themselves”

Through participatory approaches and engaging potential stakeholders, Pangani FM ensures balanced content over its 7-days 18-hours each day, Pangani FM broadcast schedule engages in participative dialogue on key social issues with community leaders, and the community at large provides a wide range of edutainment programs such as banjabeat, a popular Tulizana program focusing on the family, intimate partners issues; youth-participation forums; educational, community health, and cultural programs; sports coverage, and the opportunity for all to interact on air with current issues affecting themselves, their families and communities towards development and growth.

Contents.

Pangani FM radio platform plays a major role of making sure UZIKWASA’s
interventions are shared with the entire community and engage them in active social-dialogue.
The radio facilitates and informs communities about success and challenges in their lives and mobilizes them to take charge of their own development.
Through participatory approaches and strategically live broadcasting of community events and through interactive radio programs such advantageous manner which results to;

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.
Pangani FM facilitates reflective leadership to foster change in contributing to a growing movement of transformation beyond Pangani District.