Pambazuko FM Radio
Pambazuko FM Radio
5 July 2025, 09:38
“Klipu hiyo ni ya kutengenezwa yenye lengo la kunichafua hasa kipindi hiki cha mchakato wa uchaguzi ambacho kinakuwa na chuki na fitina zisizo za msingi kutoka kwa watu wenye nia mbaya ili nishindwe kusimamia uchaguzi wa kura za maoni kwa…
2 July 2025, 21:39
Tuna wanachama watatu wameshindwa kurejesha fomu pengine kutokana na sababu mbalimbali ambazo siwezi kuzijua Na Katalina Liombechi Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Kilombero, Gervas Ndaki, ametaja jumla ya wanachama 36 wa chama hicho waliokuwa wamechukua fomu…
2 July 2025, 20:18
Kilimo shadidi ambacho kinatumia Mbegu kidogo,maji kidogo kinaleta kipato kikubwa na kuinua uchumi wa Mkulima Na Kuruthumu Mkata Taasisi inayojihusisha na Utafiti wa mbegu Tanzania TARI Ifakara waendelea kunufaisha jamii kwa kutoa elimu ya matumizi ya bora za kilimo za…
2 July 2025, 19:20
Kama taasisi tunafuatilia vitendo vyote vinavyokatazwa na sheria zetu na zile za uchaguzi Na Katalina Liombechi Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Wilaya ya Kilombero imesema inaendelea kufuatilia vitendo vyote ambavyo vimekatazwa na Sheria za Taasisi hiyo pamoja…
30 June 2025, 10:19
Maendeleo ya wananchi yanaaza na wao wenyewe kuonyesha utayari na kujitoa na serikali inaunga mkono jitihada zao Na Katalina Liombechi Wananchi wa Kitongoji cha Uwanja wa Ndege, kilichopo katika Kata ya Kibaoni ndani ya Halmashauri ya Mji wa Ifakara wamefanya…
29 June 2025, 18:28
Kuna miiko ambayo imetajwa na chama kwa wanachama kutotumia midundiko,ngoma,tarumbeta anatakiwa mwanachama kwenda kuchukua fomu na kurudisha yeyote atakayevunja kanuni atachukuliwa hatua Na Katalina Liombechi Ikiwa mchakato wa Uchukuaji wa Fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge na Udiwani ndani ya…
26 June 2025, 22:44
Kwa eneo hili Ifakara wengi wamekwishalipa kodi tunaendelea kuwahimiza Na Katalina Liombechi Timu ya Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia Makao Makuu kwa kushirikiana na ofisi ya TRA mkoa wa Morogoro, imeendelea na ziara yake maalum katika mji…
26 June 2025, 19:44
Mradi huu kuletwa Kilombero katika Halmashauri ya Mlimba unastahili kutokana na umuhimu wa bonde hili Kiuchumi na upekee wake kiikolojia Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mradi wenye thamani ya Tsh.Bil 6 wa Kuboresha Mifumo Jumuishi ya Usimamizi wa Chakula, Ardhi na…
23 June 2025, 20:24
Ulipaji wa kodi siyo tu wajibu wa kisheria, bali ni jukumu la kizalendo katika kuchangia maendeleo ya nchi Na Katalina Liombechi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Morogoro imeendelea kuwatembelea walipakodi kwa lengo la kuwakumbusha kulipa kodi kwa hiari…
21 June 2025, 09:35
“Michezo haijabagua nani acheze nani asicheze, ushirikishaji wa watu wenye ulemavu changamoto tunayoipata ni miundombinu sio rafiki” Na Katalina Liombechi Afisa Utamaduni wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara Majaliwa Mbugi amesema kuwa juhudi kubwa zinaendelea kufanyika kuhamasisha ushiriki wa wananchi…
Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.
Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.