Pambazuko FM Radio

Recent posts

11 August 2025, 19:27

Bil 2.5 kusaidia uchumi, nishati ya kupikia

Serikali ya Tanzania imekuwa ikihamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kukabiliana na uharibifu wa mazingira na kuchochea uchumi kwa wananchi Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Mradi wa teknolojia ya kutengeneza mkaa mbadala kwa kutumia mabaki ya kilimo cha mpunga wenye…

5 August 2025, 19:34

Asenga, Rwakatare waongoza kura za maoni CCM Kilombero

Matokeo ya kura za maoni ndani ya CCM ni baada ya kurudi kwa majina ya wagombea na kupitishwa kutambulishwa na Chama kwa wajumbe kwa siku nne na Agosti 5 2025 kupigiwa kura. Na Katalina Liombechi Katibu wa Chama cha Mapinduzi…

24 July 2025, 20:14

TCRA yaonya upotoshaji kwenye mitandao

Licha ya mafanikio ya huduma ya mawasiliano kumekuwa na upotoshaji ambao unaendelea hivyo TCRA wamekuwa na kampeni mbalimbali kudhibiti huduma ya mawasiliano kwa kushirikiana na wadau Na Katalina Liombechi Katika kukabiliana na kudhibiti upotoshaji na uenezaji wa taarifa za uongo…

18 July 2025, 14:17

ACT Wazalendo Ulanga waeleza utaratibu uchukuaji fomu

“Kwa anayetaka kutia nia ya Ubunge nafasi iko wazi hatuna shaka na mtu yeyote anayetaka kutia nia kupitia chama chetu“ Na Kuruthumu Mkata Chama cha ACT-Wazalendo wilayani Ulanga kimetangaza kuanza rasmi mchakato wa uchukuaji wa fomu za kugombea nafasi mbalimbali…

17 July 2025, 19:03

Meno sita ya tembo yakamatwa Ulanga

Upelelezi zaidi wa kisayansi unaendelea kuhusiana na utambuzi vinasaba vya wanyama hawa maeneo ambayo wanyama wamepatikana Na Katalina Liombechi Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na maofisa wa wanyamapori wilaya ya Ulanga limefanikiwa kuwakamata watu wawili wakazi wa…

15 July 2025, 14:25

Half marathon kuitangaza Iluma WMA kimataifa

Lengo la mbio za hisani ni kutangaza utalii na kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kuhifadhi ILUMA Na Katalina Liombechi Katika kutangaza vivutio na kuendeleza bonde oevu la kilombero wadau na jamii inayounda hifadhi ya jamii ILUMA wanatarajia…

12 July 2025, 08:02

Sun King kuajiri vijana zaidi ya 300

Kampuni ya Sun king licha ya kujihusisha na masuala ya nishati mbadala imekuwa ikitengeneza ajira kwa vijana kama njia ya kuiunga mkono serikali kukabiliana na changamoto ya ajira hapa Nchini Na Katalina Liombechi Kampuni ya Sun King, inayojishughulisha na huduma…

8 July 2025, 19:05

Mkopo wa WBN kuwainua wajasiriamali wadogo

Athari za mikopo isiyo rafiki hasa kwa wajasiriamali wadogo wengi hujikuta wakishindwa kulipa mikopo hiyo kwa wakati kutokana na viwango vya riba visivyodhibitika na hatimaye kudumaa zaidi kiuchumi Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Mikopo yenye riba kubwa maarufu kama chap…

7 July 2025, 11:12

Farm Africa yawanoa wakulima Ifakara upotevu wa mazao

Katika juhudi za kupunguza upotevu wa mazao kwa wakulima wadogo, Shirika la Farm Africa limeendesha mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara. Kupitia ushirikiano na wadau wa teknolojia ya kilimo, mafunzo haya yamelenga kuwajengea wakulima…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.