Orkonerei FM

Jamii iko tayari kukabiliana na athari za mvua za El Niño

25 September 2026, 8:30 am

Mkaazi wa kijiji Cha Emboreet Wilaya ya Simanjiro akifanya mahojiano katika makala ya Kurunzi maalumu.(Picha na Evanda Barnaba)

Makala ya Kurunzi maalumu.

Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) imetabiri uwepo wa mvua za juu ya wastani hadi wastani zenye hali ya El-Nino katika Msimu wa vuli mwaka 2026/27,katika makala hii tunaangazia ikiwa jamii ipo tayari kuendana na athari za mvua hizo.

Makala hii imefanyika katika Kijiji na Kata ya Emboreet Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara ambapo utasikia Sauti halisi za wanajamii na hatua zinazochukuliwa na mamlaka.

Karibu kusikiliza kurunzi maalum

Makala ya kurunzi Maalum