Orkonerei FM

Maarifa ya Asili na Sayansi: Wamaasai Wanavyokabiliana na Ukame

2 November 2026, 9:54 am

NA ISACK DICKSON

Ukame unaendelea kuathiri maisha ya wafugaji, hususan jamii ya Wamaasai, kwa kupunguza upatikanaji wa maji na malisho muhimu kwa mifugo yao. Makala hii ya sauti inachunguza jinsi jamii hizi zinavyotumia maarifa ya asili yaliyorithiwa kama vile kutazama mabadiliko ya mazingira na mila zao pamoja na taarifa za kisayansi za utabiri wa hali ya hewa ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Sikiliza makala hii ili kujifunza jinsi uzoefu wa kimila na sayansi ya kisasa vinavyoweza kushirikiana kuimarisha ustahimilivu wa jamii za wafugaji dhidi ya ukame.

Makala kuhusu matumizi ya maarifa ya Asili na sayansi katika kutabiri hali ya hewa