Orkonerei FM

Umuhimu wa kutumia mbegu bora kwenye kilimo

18 September 2026, 8:30 pm

Zao aina ya Mahindi katika shamba la mfano Shule ya msingi ya Terrat Simanjiro ambalo lilioteshwa kwa kutumia mbegu bora. (Picha na Isack Dickson).

Makala ya Kurunzi Maalumu.

Mkoani Manyara, takwimu zinaonyesha kuwa asilimia kubwa ya wakazi wanategemea kilimo, lakini changamoto inabaki kuwa wakulima wengi bado wanatumia mbegu za kienyeji ambazo hutoa mazao machache yasiyotosheleza soko wala mahitaji ya familia zao.

Karibu kusikiliza makala maalumu ya Kurunzi ambayo huruka kila ijumaa 08:30 Asubuhi,juma hili tunajadili matumizi ya mbegu bora katika kufanya kilimo.

Karibu kusikiliza👇👇

Makala maalumu ya Kurunzi