Radio Tadio

Ufugaji

27 Aprili 2026, 16:24

DC Uvinza ahimiza usafi wa mazingira

Mkuu wa Wilaya Uvinza mkoani Kigoma amesema wananchi hawana budi kuzingatia suala la usafi wa mazingira ili kuhakikisha wanaepukana na mazingira ambayo yanaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Mwandishi wetu Wananchi wa Wilaya ya Uvinza wameungana kushiriki shughuli za usafi…

22 Aprili 2026, 15:46

Idara ya mazingira Kigoma MC yatakiwa kuondoa taka

Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imeanza kutekeleza zoezi la uondaaji wa taka zilipo katika vizimba ikiwa ni mkakati wa kufanya mji wa Kigoma kuwa msafi. Na Mwandishi wetu Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kigoma Mjini…

2 Machi 2026, 3:28 um

Wananchi wachekelea bwawa la Iziwasungu

Balozi Baraka Luvanda akipokea maelekezo kutoka kwa mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe. Picha na Samwel Mbugi “Mradi huu umetutoa katika shida na masikitiko” Na Samwel Mbugi Wananchi wa Kata ya Kansansa  halmashauri ya Mpimbwe wilaya ya Mlele wametoa shukrani kwa…

13 Febuari 2026, 8:16 um

Serikali yaendelea kutambua mchango wa vyombo vya habari

Leo ikiwa ni siku ya redio duniani, mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema serikali inaendelea kutambua mchango wa vyombo vya habari kwa kuwa vinaelimisha jamii. Na Mzidalfa Zaid Akiongea na fm Manyara radio, Sendiga amesema mchango wa vyombo…

25 Julai 2025, 3:27 um

NACOPHA yaipongeza serikali mapambano ya VVU

Hadi sasa serikali imefanikiwa kufikia asilimia 90 ya watu wanaotambua hali yao ya maambukizi, asilimia 98 wapo kwenye tiba, na asilimia 98 wamefubaza virusi. Na: Ester Mabula Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Tanzania (NACOPHA) limetoa…

31 Agosti 2023, 10:21 um

Wafugaji watakiwa kunenepesha mifugo

Kulisha ng’ombe kwa kutumia aina yoyote ya malisho, haitoshi kuwa na ng’ombe mwenye afya nzuri na maziwa ya kutosha, hili limemuinua Afisa Mifugo na kutoa elimu kwa wafugaji. Na Kale Chongela- Geita Wafugaji wa ng’ombe mjini Geita wametakiwa kuipatia mifugo…

28 Agosti 2023, 1:34 um

Wafugaji wa Nyuki Geita watakiwa kufuga kisasa

Ufugaji wa Nyuki umeendelea kuongezeka kwa kasi Mkoani Geita na maeneo mbalimbali huku idadi kubwa ya watu wanaoingia kwenye ufugaji huo wakiwa hawajui kanuni za ufugaji. Na Kale Chongela: Wafugaji wa Nyuki katika Kata ya Buhalahala wilayani Geita Mkoani Geita…

7 Julai 2023, 13:41

Wafugaji Kilosa washauriwa kufuga kibiashara

Serikali imelenga kutoa elimu ya shughuli za kimaendeleo katika sekta ya ufugaji kwa vijana hususan wazawa ambao baada ya mafunzo hayo watakuwa mabalozi wazuri wa kusambaza elimu ya ufugaji wa kisasa katika ngazi ya familia na jamii nzima kwa ujumla…

27 Machi 2023, 14:43

Biashara ya ufugaji wa njiwa na faida zake

Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi. Na Thadei Tesha. Ufugaji wa njiwa ni moja kati ya biashara ambayo inaweza kusaidia baadhi ya watu kujinufaisha na kujikwamua kiuchumi. Bw.…