Pambazuko FM Radio

Recent posts

2 May 2024, 12:00

Wadau wa mazingira kushirikisha jamii utunzaji endelevu wa maliasili

Changamo za kibinadamu zinavyohatarisha usalama wa Maliasili Ikiwa ni pamoja na Kilimo holela,Ufugaji kwenye maeneo ya Hifadhi,Makazi holela na Utegemezi wa Rasilimali Zilizohifadhiwa kwani watu hukata miti kwa matumizi ya kuni na Mkaa Isivyo halali. Na Katalina Liombechi Katika kukabiliana…

1 May 2024, 19:30

Waandishi wa habari mjitofautishe na watoa habari

Waandishi wa habari wa Redio Pambazuko wamepigwa msasa wa mafunzo ya kuandika habari kwa kufuata maadili na misingi ya habari. Na Katalina Liombechi Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025, waandishi wa habari wametakiwa kujitofautisha na watoa…

1 May 2024, 00:11

Wafanyakazi Morogoro walia kwa kutopandishwa madaraja

Wajumbe wa halmashauri za  mkoa wa MIorogooro wameketi kikao cha mwisho mjini Ifakara, kupanga na kuweka sawabajeti kuelekea maadhimisho ya Mei Mosi 2024 Na: Isidory Matanddula Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani katika mkoa wa Morogoro yatafanyika katika halmashauri ya…

19 April 2024, 20:28

Maisha ya mwanadamu yanategemea bionuai iliyohifadhiwa

Na Katalina Liombechi Imeelezwa kuwa Utunzaji wa Bionuai unasadia Uendelevu wa maisha ya Binadamu na Viumbe hai kwa Ujumla. Mhifadhi Kutoka Shirika linalojihusisha na Urejeshaji wa Misitu Afrika(Reforest Africa) Helman Lyatuu amesema hayo Wakati akizungumza na Pambazuko Fm kuhusu Uhifadhi…

17 April 2024, 23:31

Waathirika wa mafuriko Kilombero wapokea mssaada wa chakula tani 6

mifuko ya chakula – Picha na; Katalina Liombechi Kufuatia Adha ya Mafuriko katika Maeneo mbalimbali Wilaya ya  Kilombero mkoani Morogoro,Kampuni ya Sukari Kilombero  imekabidhi tani 6 za Vyakula zenye thamani zaidi ya Sh Mil 14 kusaidia Waathirika wa Mafuriko. Na:…

10 April 2024, 23:37

Waathirika wa mafuriko Ifakara wapata msaada

Picha ya waathiriika wakiwa kwenye moja ya kambi – Picha na Katalina Liombechi Na Katalina Liombechi Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mh Aboubakar Asenga Ametoa Msaada wa vyakula kwa Waathirika wa Mafuriko 135 walioweka kambi katika Shule ya Msingi Kiyongwile…

MISSION AND VISION

OUR MISSION

Providing a radio broadcasting platform for advocacy,capacity bulding ,Information sharing and Dissemination to the community.

OUR VISION

Becoming the best radio station by satisfying listeners needs through innovative and quality radio programs.