Sibuka FM

Recent posts

13 July 2023, 4:02 pm

Waziri Ummy: Sitarajii kusikia wananchi wanalalamikia dawa

Serikali mkoani Simiyu kuendelea kuboresha utoaji wa huduma za afya ili kupunguza malalamiko ya wananchi na wagonjwa mkoani hapa. Na Alex Sayi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa hatarajii kuona wananchi na wagonjwa wakilalamikia uhaba wa dawa  kwa…

10 July 2023, 3:22 pm

Sibuka Fm: Kongole TADIO, Vikes kwa elimu ya kutangaza kidijitali

Waandishi wa habari wa kituo cha Radio Sibuka Fm wamepatiwa mafunzo ya kuandaa na kutangaza habari za mtandao ili kuendana na kasi ya ushindani wa teknolojia, mafunzo yaliyofanyika katika ofisi za Sibuka Fm zilizopo mjini Maswa mkoani Simiyu. Na Nicholaus…

4 July 2023, 5:18 pm

Waandishi Redio Jamii wapigwa msasa ushindani habari za mtandaoni

Na,Alex Sayi Waandishi wa habari na wahahiri wa Redio  Jamii mikoa ya Kanda ya Ziwa wameshauriwa kuendana na mabadiliko ya uandaaji wa habari zenye ushindani kwenye mitandao ya kijamii.  Paschal Malulu mshiriki wa mafunzo toka Kahama Shinyanga amezungumzia umuhimu wa…

4 July 2023, 3:00 pm

Mwezi wa Afya na Lishe

Wazazi wameaswa kuwapeleka watoto wote kupata dawa za minyoo na matone ili kuwakinga na magonjwa yanayotokana na upungufu wa lishe. Afisa lishe amesema hayo wakati akitoa elimu kwa Jamii katika mwezi wa Afya na lishe zoezi linalofanyika mara mbili kwa…

4 July 2023, 11:37 am

Mawakala wa usafirishaji  waitaka halmashauri kuboresha stendi Maswa

Na Nicholaus Machunda Mwenyekiti wa Umoja wa Mawakala wa Usafirishaji mjini hapa ameutaka uongozi wa halmashauri wilayani Maswa mkoani Simiyu kuhakikisha wanaboresha miundombinu maeneo ya stendi mpya. Suala la usafi ni wajibu wa  kila mtu Baadhi ya wafanyabiashara wanaofanya biashara…

1 July 2023, 3:54 pm

Maswa: Ng’ombe 126, kondoo 68 sadaka ya kuchinja Eid Al Hajj

Kwenye picha ni Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu(BAKWATA) wilayani Maswa, Maulid Mlete mwenye kanzu akimkabidhi Bi.Salima Kimazi sadaka ya nyama ya ng’ombe wakati wa utoaji wa sadaka ya kuchinja katika kusherekea sikukuu ya Eid Al Hajj Na Mwandishi, Daniel…

28 June 2023, 7:01 pm

Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri

Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…

24 June 2023, 6:24 pm

Simiyu: Watu 37 mikononi mwa jeshi la polisi kwa makosa mbalimbali

Kwenye picha ni Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu ACP,Edith.M.Swebe akizungumza na Waandishi wa habari mkoani hapo Na mwandishi,Daniel Manyanga Jeshi la  Polisi mkoa wa Simiyu limewatia mbaroni Watu (Watuhumiwa) 37 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya Ulawiti,Wizi ,Uvunjaji…

22 June 2023, 7:13 pm

Maswa: RC aagiza hoja zote za CAG  zifungwe

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt Yahaya Nawanda ameuagiza uongozi wa wilaya ya Maswa kuhakikisha wanafunga hoja zote za Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) zilizotolewa baada ya kufanya ukaguzi wa fedha kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Dkt…

2 June 2023, 7:16 pm

Miradi mitatu iliyochunguzwa na Takukuru  Simiyu  yakutwa   na  dosari

Taasisi  ya  Kuzuia na  Kupambana  na Rushwa  mkoa  wa  Simiyu   imebaini  kuwa  miradi  3  kati  ya  14  yenye  thamani  ya  zaidi ya  bilioni 1 iliyofuatitiliwa   imebainika  kuwa   na  dosari  katika  utekelezaji  wake . Akitoa  taarifa  katika  kipindi  cha  robo  ya …

18 May 2023, 4:16 pm

Maswa: Zaidi ya wananchi laki mbili wamepata chanjo ya covid-19

Kwenye ni mkuu wa kitengo cha Usafi na Mazingira wilaya ya Maswa ,Budodi Walwa akimpatia chanjo ya Covid-19 mmoja wa wananchi wilayani hapo Na Alex.F.Sayi. Zaidi ya Wananchi laki  mbili Wilayani Maswa Mkoani Simiyu  wamepata chanjo ya Covid-19 kufuatia mpango…

18 May 2023, 7:08 am

Maswa: Elimu ya chanjo ya Uviko-19 bado inahitajika sana kwa jamii

Kwenye picha ni mmoja wa wananachi wa wilaya ya Maswa akionesha cheti chake baada ya kupata chanjo ya Covid-19 Na Alex.F.Sayi Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu, wamewashukuru wadau wa afya  Internews na Tadio katika mapambano ya ugonjwa wa Korona kwa kuwakumbusha…

28 April 2023, 7:33 am

DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme

Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi  Wilayani hapo  wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…

Sample Page

This is an example page. It’s different from a blog post because it will stay in one place and will show up in your site navigation (in most themes). Most people start with an About page that introduces them to potential site visitors. It might say something like this:

Hi there! I’m a bike messenger by day, aspiring actor by night, and this is my website. I live in Los Angeles, have a great dog named Jack, and I like piña coladas. (And gettin’ caught in the rain.)

…or something like this:

The XYZ Doohickey Company was founded in 1971, and has been providing quality doohickeys to the public ever since. Located in Gotham City, XYZ employs over 2,000 people and does all kinds of awesome things for the Gotham community.

As a new WordPress user, you should go to your dashboard to delete this page and create new pages for your content. Have fun!