Sibuka FM

Recent posts

18 May 2023, 4:16 pm

Maswa: Zaidi ya wananchi laki mbili wamepata chanjo ya covid-19

Kwenye ni mkuu wa kitengo cha Usafi na Mazingira wilaya ya Maswa ,Budodi Walwa akimpatia chanjo ya Covid-19 mmoja wa wananchi wilayani hapo Na Alex.F.Sayi. Zaidi ya Wananchi laki  mbili Wilayani Maswa Mkoani Simiyu  wamepata chanjo ya Covid-19 kufuatia mpango…

18 May 2023, 7:08 am

Maswa: Elimu ya chanjo ya Uviko-19 bado inahitajika sana kwa jamii

Kwenye picha ni mmoja wa wananachi wa wilaya ya Maswa akionesha cheti chake baada ya kupata chanjo ya Covid-19 Na Alex.F.Sayi Wananchi Wilayani Maswa Mkoani Simiyu, wamewashukuru wadau wa afya  Internews na Tadio katika mapambano ya ugonjwa wa Korona kwa kuwakumbusha…

28 April 2023, 7:33 am

DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme

Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi  Wilayani hapo  wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…

13 April 2023, 4:44 pm

Maswa: Vikundi 82 kufikishwa mahakamani kwa kushindwa kurejesha mikopo.

NA,ALEX.F. SAYI Vikundi 82 vya Wanawake,Vijana na Walemavu vimeendelea kufikishwa Mahakamani na Halmashauri ya Wilaya ya Maswa kwa kushindwa kurejesha zaidi ya Sh.Mil,129.9 walizokopeshwa na Halmashauri hiyo kwa  mwaka wa fedha 2021/2022 Akizungumza na Sibuka Fm, Mwenyekiti wa halmashauri ya…

13 April 2023, 4:23 pm

Maswa:RUWASA Wananchi tumieni maji yanayotoka kwenye vyanzo vilivyoboreshwa.

Na,Alex.F.Sayi Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Wilayani Maswa Mkoani Simiyu (RUWASA)imewaasa wakazi Wilayani hapa kutumia Maji kwenye vyanzo vilivyoboreshwa ili kuepuka magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na Sibuka fm, Meneja wa RUWASA Wilayani Maswa Mhandisi Lucas Madaha amesema…

30 March 2023, 5:39 pm

Maswa: Wakazi wa mji wa Malampaka walalamikia mgao wa maji

Na Alex.F.Sayi Wakazi zaidi ya elfu ishirini na nne wa Mji wa Malampaka Wilayani Maswa Mkoani Simiyu,wanakabiliwa na adha  ya mgao wa maji unaotokana na upungufu wa maji safi na salama mjini hapo. Akizungumza na Sibuka fm redio Diwani wa…

25 March 2023, 9:26 pm

Waziri Mkuu Majaliwa aonya Matumizi ya Fedha mbichi kwenye Halmashauri

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kasimu Majaliwa amezionya Halmashauri zinazotumia Fedha za Makusanyo ya ndani kabla ya kuziweka kwenye Mifumo ya Kibenki. Mhe Majaliwa ametoa Onyo hilo leo mjini Bariadi wakati akiongea na baadhi ya Watumishi…

21 March 2023, 12:47 pm

Wanaoishi maisha duni hatarini kupata ugonjwa wa kifua kikuu

Imeelezwa  kuwa  Jamii  inayoishi  katika  Makazi  Duni   ipo hatarini  kuugua  Ugonjwa   wa  Kifua  kikuu  kutokana  na  hali  zao za  Maisha   na  Mfumo  wa  Maisha  wanayoishi.. Hayo  yameelezwa  na   Mratibu  wa Mapambano  dhidi  ya  Kifua  Kikuu  kutoka Muungano  wa  Wadau wa…

14 March 2023, 5:20 pm

WAKAZI ZAIDI YA  120,000 WILAYANI MASWA MKOANI SIMIYU HAWAJACHANJA CHANJO YA CO…

Na Alex Faida Sayi. Halimashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu kupitia wataalamu wa Afya na waratibu wa chanjo Wilayani hapo imejipanga kuhakikisha inawafikia  wakazi zaidi ya   (120,000) ambao hawakuweza kuchanja chanjo ya  Covid 19,tangu zoezi hilo lilipoanza kutekelezwa Augost.21.2021,huku ikiwaasa…

4 March 2023, 10:18 am

Simiyu: DC Maswa apiga marufuku wanafunzi kufukuzwa shuleni

Na Alex Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ,Mhe.Aswege Kaminyoge ,amepiga marufuku tabia ya Wakuu wa shule wilayani hapo kuwafukuza wanafunzi kwa sababu  ya kutokukamilisha michango ya shule au kwa sababu zingine zile. Hayo ameyasema wakati akizungumza na…

17 February 2023, 1:48 pm

Simiyu: Askari aliyejeruhi mwanae afikishwa mahakamani

Askari wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu mwenye no H.4178 PC Abati Benedicto Nkalango miaka (27) aliyempiga  mwanae  mwenye miaka( 7) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika  shule ya Herbeth Gappa English Mediam  na kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili…

17 February 2023, 12:01 pm

DC Itilima: Wizara tupeni Mamlaka ya Kusimamia Miradi.

Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu Mhe. Faidha Salim ameishauri Wizara ya Kilimo Kuzipa Halmashauri Mamlaka za Kusimamia Miradi Ili kuondokana na kusuasua Kwa Miradi inayotekelezwa na Wakandarasi. Mh Faidha ametoa Ushauri huo akiwa Mgeni Rasmi katika Hafla ya…

15 February 2023, 3:08 pm

Wananchi Waaswa kula mlo wenye Makundi 5 ya Chakula.

Wananchi Wilayani Maswa wameaswa kula chakula chenye Makundi Matano ya chakula Bora ili Kuimarisha Afya. Hayo yamesemwa mapema hii leo na Afisa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Ndugu Abel Gyunda Wakati akitoa Elimu ya Masuala ya Lishe…

Sample Page

This is an example page. It’s different from a blog post because it will stay in one place and will show up in your site navigation (in most themes). Most people start with an About page that introduces them to potential site visitors. It might say something like this:

Hi there! I’m a bike messenger by day, aspiring actor by night, and this is my website. I live in Los Angeles, have a great dog named Jack, and I like piña coladas. (And gettin’ caught in the rain.)

…or something like this:

The XYZ Doohickey Company was founded in 1971, and has been providing quality doohickeys to the public ever since. Located in Gotham City, XYZ employs over 2,000 people and does all kinds of awesome things for the Gotham community.

As a new WordPress user, you should go to your dashboard to delete this page and create new pages for your content. Have fun!