Kitulo FM
Kitulo FM
8 June 2023, 2:03 pm
Wakulima wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kuendelea kuwatumia maafisa ugani waliopo katika maeneo yao katika shughuli zao za kilimo
8 June 2023, 10:29 am
Hali ya uchoamaji moto Makete
8 June 2023, 10:23 am
Wanaume washauriwa kwenda kwa Wataalamu tatizo la Nguvu za Kiume
9 March 2023, 11:03 am
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Makete A.P Mwampamba
9 March 2023, 10:44 am
Katibu Tawala Wilaya ya Makete Bi. Grace Mgeni akizungumza na Wawawake waliojitokeza kwenye Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mwanamke Duniani
7 March 2023, 9:59 pm
Mtandao wa Jeshi la Polisi Wanawake Wilayani Makete Mkoani Njombe wametembelea kituo cha kulelea watoto Yatima Bulongwa na kutoa msaada wa vitu mbali mbali vyenye thamani ya shilingi laki tatu . Philipina mkumbo ni Mkuu wa upelelezi Wilaya ya Makete…
7 March 2023, 9:52 pm
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani wanawake kwa kushirikiana na wanaume Kata ya Iwawa, wametembelea wafungwa katika gereza la Wilaya ya Makete lililopo kijiji cha Ndulamo wakiwa na lengo la kuungana nao katika maadhimisho hayo kwa kuwafariji na kuwapa…
7 March 2023, 9:35 pm
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Antony Mtaka amewapongeza Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa ubunifu wa Miradi mbalimbali ikiwemo Kilimo cha zao la Ngano. Pongezi hizo amezitoa leo Machi 7, 2023 akiwa kwenye Kikao kazi kati ya…
6 March 2023, 6:59 pm
Kikao kazi cha maafisa Ugani na Kilimo Halmashauri ya Wilaya ya Makete kitakachofanyika kwa siku mbili kimeanza leo katika Mkakati wa kuendeleza zao la Ngano Makete. Kikao hicho kimehudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi 80 kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo…
6 March 2023, 6:39 pm
Trekta likiwa shambani wakati wa maandalizi ya Mashamba ya Ngano Kijiji cha Mbalatse
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo