Kitulo FM
Kitulo FM
6 February 2023, 3:07 pm
Madereva wa daladala #Njombe mjini, wamesitisha huduma ya usafirishaji kwa kipindi kisichojulikana baada ya madereva wa bajaji kuruhusiwa kusafirisha abiria katika maeneo yote ndani ya Halmashauri ya mji wa Njombe. Katibu Tawala wilaya ya Njombe Emmanuel George akizungumza na Madereva Daladala Njombe Wamesema kuwa…
29 January 2023, 8:42 am
Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda amesema kiwango cha wanafunzi Tarafa ya Ikuwo kuripoti shule ni hafifu Ameagiza Afisa Tarafa, watendaji wa kata kufanya msako maalumu kuhakikisha wanafunzi ambao hawajaripoti kidato cha kwanza mpaka sasa wanaripoti shule na…
29 January 2023, 8:12 am
Mkurugenzi Mtendaji Halashauri ya Wilaya Makete William Makufwe amewataka walimu kutunza Vishikwambi walivyopewa na kuvitumia kwa lengo lililokusudiwa. Makufwe ametoa rai hiyo wakati wa makabidhiano ya Vishikwambi hivyo yaliyofanyika mwishoni mwa mwezi huu Januari, 2023 Ameongeza kuwa kwa yeyote atakayebainika…
29 January 2023, 8:02 am
Zoezi la kufunga vifaa tiba vya kisasa jengo la dharura (EMD) Hospital ya Wilaya ya Makete Mkoa wa Njombe limefanywa na wataalamu kwa lengo la kuanza kutoa huduma za Afya Hospitalini hapo. Serikali imetoa Milioni 300 kujenga jengo hilo la…
29 January 2023, 7:54 am
Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Njombe wamefanya Maadhimisho ya miaka 46 ya Chama cha Mapinduzi Wilayani Makete kwa kupanda miti kuzunguka eneo la shule ya Sekondari Ilumaki iliyopo Kata ya Lupalilo Wilaya ya Makete. Zoezi hilo limefanywa…
29 January 2023, 7:43 am
Serikali imeongeza mfuko wa Jimbo la Makete kutoka Milioni 36,282,000 kwa mwaka 2021/2022 hadi kufikia Milioni 59,647,000 kwa mwaka 2022/2023. Kupitia Kikao cha Baraza maalumu la Madiwani kilichofanyika leo Tarehe 27 Januari 2023 cha kupitisha Bajeti ya mwaka wa fedha…
27 January 2023, 10:56 am
Serikali ya Hait toka Amerika ya kusini imetuma wajumbe wake kuja kujifunza katika wilaya ya Njombe namna ilivyofanikiwa katika utekelezaji wa utoaji wa Chanjo ya UVICO 19 kupitia kampeni maalum ya kijiji kwa kijiji chini ya mkuu wa Wilaya ya…
27 January 2023, 7:55 am
Hakimu mkazi mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Makete Mh. Ivan Msaki amesema jamii ikijikita katika utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi kutaifanya jamii yenyewe kuishi bila uhasama. Mh. Msaki ameyasema hayo januari 25,2023 wakati akizungumza na wanafunzi wa chuo…
27 January 2023, 7:28 am
Wananchi wametakiwa kuhakikisha wanahudumia Familia hususani watoto pale wazazi/wanandoa wanapokuwa wametengana kwa sababu mbalimbali. Rai hiyo imetolewa na Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Makete Ndg. Appolo Laizer akizungumza na Kitulo FM kwenye Kipindi cha Daladala tarehe 27…
25 January 2023, 4:00 pm
Mwakilishi wa Mkutano Mkuu CCM Taifa Mkoa wa Njombe (MNEC) Ndg. Abraham Okoka amempongeza Mkuu wa Wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda kwa kuaminiwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwatumikia wananchi wa Makete MNEC ametoa pongezi hizo leo…
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo