Recent posts
24 December 2023, 9:47 am
Mavazi yasiyo na staha yapigwa marufuku Rungwe
Moja ya sababu iliyo tajwa kupolomoka kwa maadili ni pamoja na kuigwa kwa tamaduni za nje,hivyo jamii imeshauriwa kudumisha utamaduni wa maeneo yao. Na lennox Mwamakula Wananchi wa kijiji cha Mbaka kilichopo kata ya Kisiba wamemwomba Mbunge wa jimbo la…
17 December 2023, 10:59 am
Tulia asambaza ujumbe wa upendo kwenye jamii
katika kuhakikisha jamii inakuwa na usawa Taasisi ya Tulia Trust imeendelea kukipinda bendera ya yenye ujumbe wa upendo na kwa kuwatembelea watu wenye mahitaji mbalimbali wirayani Rungwe. Afisa Habari wa Taasisi ya Tulia Ttrust Joshua Mwakanolo akiwa na vijana pamoja…
12 December 2023, 1:28 pm
Wananchi waomba kuanzishwa halmashauri mpya Makete
Na Mwandishi wetu – Makete Wananchi na wadau wa maendeleo wa kata 11 kati ya 23 za halmashauri ya wilaya ya Makete mkoani Njombe wameiomba serikali kuigawa halmashauri hiyo na kuazisha halmashauri mpya kutokana na jiografia ya wilaya hiyo. Kikao…
12 December 2023, 12:59 pm
Taasisi ya Tulia Trust yadhamiria kuondoa umasikini kwenye jamii
kutokana na kuto kuwepo kwa usawa ndani ya jamii taasisi ya Tulia Trust imeendelea na kampeni yake ya kukimbiza Bendera ikiwa imebeba ujumbe wa upendo, usawa na uwajibikaji wa kuwatembelea wenye mahitaji maalumu wilayani Rungwe. RUNGWE..MBEYA Na lennox Mwamakula Taasisi…
12 December 2023, 10:11 am
Wananchi wilayani Rungwe walia na mradi wa maji
Baada ya kukosekana kwa huduma ya maji katika kata ya ikuti mbunge wa jimbo la Rungwe amewaomba wananchi kuwa na subira serikali inapoendelea kutekeleza mradi wa maji wa ikuti na lyenje. Mbunge wa jimbo la Rungwe Albert Mwantona akiongea na…
9 December 2023, 5:07 pm
Wanawake wilayani wakomesha ukatili
kufuatia na kuwepo kwa vitendo vya ukatili kwenye jamii wanawake wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuripoti kwenye vyombo vya sheria. RUNGWE-MBEYA Na Lethicia Shimbi Ikiwa bado ni Mwendelezo wa kampeni za kupinga ukatili wa kinjinsia Duniani Wanawake Wilayani Rungwe Mkoani…
7 December 2023, 4:54 pm
Wazazi, walezi watajwa chanzo cha mimba za utotoni
Malezi yasiyozingatia misingi bora pamoja na ukosefu wa elimu ya uzazi imetajwa kuwa chanzo cha mimba za utotoni wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Na Sabina Martin Mimba katika umri mdogo imetajwa kuwa ni miongoni mwa ukatili uliokithiri katika jamii ya wananchi…
2 December 2023, 7:07 am
Rungwe yajinasua na maambukizi ya usubi
Baada ya kufanyika kwa tafiti mbalimbali kuhusu kuwepo kwa ugonjwa wa usubi mikoa ya nyanda za juu kusini jamii imehamasika na unywaji wa dawa na kuweza kutokomeza. wadau mbalimbali wakiwemo watendaji wa kata,wenyeviti wa vijiji , madiwani,maafisa tarafa na madaktari…
29 November 2023, 8:54 am
Polisi kukabiliana na vitendo vya kikatili Rungwe
ili kuweza kutokomeza vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na ukatili kwa wanawake na watoto jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa taarifa kwenye vyombo vya kisheria. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Jamii imeshauriwa kuachana na vitendo vyaa kikatili…
23 November 2023, 3:53 pm
Bei elekezi ya parachichi iliyotolewa na serikali yawanufaisha wakulima Rungwe
Kutokana na kuwepo kwa wanunuzi wanaowadanganya wakulima, serikali imeamua kutoa bei inayotakiwa kampuni zinunue parachichi ili kumkomboa mkulima. Mkuu wa mkoa akizungumza na wadau wa parachichi[picha na Lennox Mwamakula] Afisa kilimo wa wilaya Juma Mzala amebainisha utaratibu wakufuata kwa mnunuzi…