Chai FM
Chai FM
4 February 2025, 1:19 pm
Katika safari ya kuelekea Tanzania 2050 taasisi zinazohusika na usimamizi wa haki madai ni muhimu zikajikita kutekeleza malengo yaliyoainishwa katika dira ya taifa ya maendeleo. Na Sabina Martin Rai imetolewa kwa tume ya kurekebisha sheria Tanzania kufanya utafiti wa kina…
31 January 2025, 4:20 pm
Na Sabina Martin – Rungwe Halmashauri ya wilaya ya Rungwe imepongezwa na Benki ya CRDB kwa ukusanyaji wa mapato pamoja na ufaulu mzuri kwa matokeo ya kidato cha nne na chapili huku ikishika nafasi ya kwanza kwa mkoa wa Mbeya.…
6 January 2025, 10:09 am
Jamii wilayani Rungwe ametakiwa kuweka utaratibu wa kuwekeza kupitia huduma mbalimbali zinazotolewa na Banki ya CRDB ili kunufaika na kujiongezea kipato kuanzia ngazi ya familia, jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa CRDB tawi la Rungwe…
11 November 2024, 1:10 pm
Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha mapinduzi wilayani Rungwe kimezidi kuvuna wanachama wapya kutoka chama kikuu cha upinzani RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Rungwe akizungumza na…
8 November 2024, 11:00 am
Sintofahamu yaibuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendelo wilayani Rungwe na baadhi kuhamia Chama Cha Mapinduzi RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wakazi wa kitongoji cha kibumbe kata ya kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya…
7 November 2024, 10:56 am
wanachi wametakiwa kujitokeza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwani ni haki yao kuchagua viongozi wanao wataka RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi…
5 November 2024, 10:53 am
Mchungaji /mwalimu Methew Chawala akizungunza na waumini wa kanisa hilo Wazazi na walezi wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyo chamili kwenye jamii RUNGWE -MBEYA Na Lennox Mwamakula Mwangalizi wa makanisa ya pentecoste Hollinests Association Mission…
27 October 2024, 11:08 am
Viongozi wa dini wameombwa kuwa mstari wa mbele kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Zaidi ya shilingi milioni 38 zimepatikana kwenye harambee ya kuchangia ununuzi wa gari aina ya coaster kwaji ya kwanya ya Watakatifu Petro…
11 October 2024, 4:18 pm
zoezi la uandikishaji kwenye daftari la mkazi kimeanza mapema hii leo octoba 11 hivyo kila wananchi unatakiwa kushiriki kikamilifu RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Wananchi wilayani Rungwe, mkoani Mbeya wametakiwa kijitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la mkazi ili waweze kuchagua…
10 October 2024, 5:46 pm
Ili kukboresha kipato cha mkulima mmojammoja wkulima wametakiwa kutolima kilimo cha mazoea waendane mabadiliko ya tabianchi Na Bahati obeid Afisa kilimo wilayani Rungwe mkoani Mbeya Steven Mbiza amewataka wakulima waliopata mafunzo ya shamba darasa kwenda kuwa mabalozi kwa wakulima wengine…
Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.
Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.
Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.
Dira
Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora
Dhamira
Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.
Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo
Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo
Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa
Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo
Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.
Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/