Recent posts
30 July 2024, 3:47 pm
Elimu kutolewa juu ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto Busokelo
ASP Mstapher akitoa kwa wananchielimu juu ya vitendo ukatili ili kukabiliana na vitendo ya ukatili kwenye jamii jeshi la polisi limeomba ushirikiano ili kuwabaini wanao fanya vitendo hivyo. RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Jamii imeshauriwa kutoa ushirkiano kwenye jeshi la polisi…
28 July 2024, 11:47 am
Wananchi waomba afisa mtendaji kuchunguzwa Busokelo
kutokana na kuwamaa kwa ujenzi wa zahanati wananchi wametoa malalamiko yao mbele ya mbunge ili aweze kuwaondolea mtendaji wa kijiji RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Wananchi wa kijiji cha lulasi kata ya Mpombo halmashauri ya busokelo wameviomba vyombo vya uchunguzi kumchunguza…
26 July 2024, 1:12 pm
Kuelekea msimu mpya wa NBC Premier League wadau watoa ya moyoni
Wakati vilabu mbalimbali vya mpira vinavyoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC vikijiandaa na msimu mpya wa ligi mashabiki wa mpira wamekuwa na maoni tofauti kulingana na sajili zilizofanywa na vilabu vyao. Na Gwamaka Mwakisyala – Rungwe Kuelekea msimu mpya…
14 July 2024, 12:22 pm
Mbunge akemea tabia za wizi wa nguzo za umeme jimbo la Busokelo
Kuwepo kwa watumishi wa umma wasio waaminifu kunapelekea kurudisha nyuma maendeleo ya nchi. BUSOKELO-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mbunge wa Jimbo la Busokelo Atupele Freddy Mwakibete amemwagiza Meneja wa Tanesco wa halmashauri ya Busokelo kuzirejesha nguzo za umeme zilizoibwa kwenye makazi…
11 July 2024, 8:51 am
Wakulima kunufaika na soko jipya Rungwe
Katibu wa mbunge jimbo la Rungwe ndg Gabriel Mwakagenda akiongea na vyombo vya habari katika kukabiliana na changamoto ya masoko mbunge wa jimbo la Rungwe amesema kwamba serikali inatarajia kujenga soko la ndizi ili kuinua uchumi wa mkulima. RUNGWE-MBEYA Na…
10 July 2024, 12:45 pm
Maji chanzo zahanati ya Ngeleka kutofunguliwa
Na Lennox Mwamakula Kutokana na kukosekana kwa huduma ya maji katika zahanati ya Ngeleka katika kata ya Kisegese imesababisha zahanati hiyo kutoanza kufanya kazi kwa wakati ambapo mbunge wa jimbo la Busokelo Mh. Fredy Atupele Mwakibete amewaagiza RUWASA kushughulikia suala…
10 July 2024, 10:50 am
Aliyechoma picha ya Rais alipa faini
Ni takribani siku tano zimepita tangu mahakama ya wilaya ya Rungwe ilivyomtia hatiani na kumhukumu kifungo cha miaka miwili gerezani au kulipa faini ya shilingi milioni tano kijana Shadrack Chaula (24) sasa yupo huru baada ya kulipa faini. Na Ezekiel…
10 July 2024, 9:44 am
Halmashauri kuzuia magari kushusha na kupakia mizigo soko kuu Makambako
Na Cleef Mlelwa – Makambako Wafanyabiashara 112 wa mazao ambao waliingia ubia na halmashauri ya mji wa Makambako katika ujenzi wa soko la mazao kiumba lilopo kata ya Lyamkena wametakiwa kuhamia kwenye soko hilo huku halmashauri ikikitakiwa kuzuia magari makubwa…
4 July 2024, 4:49 pm
Aliyechoma picha ya rais ahukumiwa
“Kwakua umeshindwa kutetea taifa lako lisiathirike na ushoga hii video inakuhusu wewe na si mtu mwingine” Na Sabina Martin – Rungwe Mahakama ya wilaya ya Rungwe mapema leo julai 4. 2024 imemtia hatiani Bw. Shedrack Yusuph Chaula mwenye umri wa…
3 July 2024, 6:20 pm
Kiwango cha ufaulu chaongezeka Rungwe
Ili kuwa na jamii yenye uelewa walimu wameshauriwa kuwa mstari wa mbele kutoa elimu bora kwa wanafunzi kwa lengo la kujenga kizazi chenye elimu Rungwe-Mbeya Na Bahati Obel Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu amekemea tabia ya baadhi ya…