Chai FM
Chai FM
13 May 2024, 6:08 pm
Jukumu la kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya ukatili ni la kila mtu kwa mujibu wa sheria ya mtoto namba 21 ya mwaka 2019. Na Sabina Martin – Rungwe Kukua kwa utandawazi imetajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazosababisha ongezeko la…
9 May 2024, 3:37 pm
Elimu ya afya ya uzazi inatakiwa kuendelea kutolewa kwenye jamii ili kukabiliana na magonjwa yasio ya lazima RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Jamii imeshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima afya ili kukabiliana na maradhi mbalimbali ukiwemo ugonjwa wa saratani ya shingo…
9 May 2024, 2:12 pm
Katika kipindi hiki ni mwendelezo wa elimu ya msaada wa kisheria mada kuu ni muongozo wa watumiaji wa mahakama, hapa utasikiliza zaidi mashauri ya ndoa ikiwa ni pamoja na usuluhishi wa ndoa.
9 May 2024, 1:16 pm
Kutokana na kuwepo kwa vitendo vya ukatili mtandaoni dhidi ya watoto wazazi na walezi watakiwa kuwa mstari wa mbele katika malezi kwa watoto Na Noah Kibona Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imeendesha kampeni maalumu dhidi…
1 May 2024, 6:47 pm
ili kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kinjisia mahala pakazi mabaraza yametakiwa kuamzisha lengo ni kukabiliana na changamoto kwa watumishi. Rungwe-Mbeya Na Lennox Mwamakula Serikali imeziagiza taasisi zote umma na binafsi kuunda mabaraza kwenye taasisi hizo ili kuwawezesha watumishi wao…
30 April 2024, 6:59 pm
serikali imeendelea kuboresha miundombiu ya barabara kwa dhumuni ya kuunganisha halmashauri zote nchini ili kuweza kufikika kwa urahisi wananchi wakiwa kwenye furaha baada ya mkandarasi kukabidhiwa barabara ili anze kujenga [picha na lennox mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na lennox Mwamakula Serikali imetenga…
26 April 2024, 2:59 pm
Vijana wametakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa taarifa oindi wanapo fanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia MBEYA Na Lennox Mwamakula Kutokana na ongezeko la vitendo vya ukatili vinavyoripotiwa kwenye maeneo mbalimbali mkoani mbeya, serikali kwa kushrikiana na wadau mbalimbali wamekutana…
26 April 2024, 2:09 pm
katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akisoma taarifa mbele ya mkuu wa wilaya kwenye siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya muungano [picha na Lennox Mwamakula] wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha amani iliyopo kwa kulinda muungano wa tanzania RUNGWE-MBEYA…
25 April 2024, 1:49 am
ili kukabiliana na vitendo ya ukatili wa kijinsia kwa watoto jamii imetakiwa kuwa mstari wa mbele kutoa tarifa kwenye vyombo vya kisheria. MBEYA Na Lennox Mwamakula Shirika lisilo la kiserikali la DSW Tanzania linalojihusisha na masuala ya maendeleo Kwa vijana…
23 April 2024, 4:08 pm
Halmshauri ya wilaya ya Rungwe imekusudia kuwalinda watoto wa kike wenye umri wa kuanzia miaka 9-14 kwa kuwapatia chanjo ya kupambana na saratani ya mlango wa kizazi (HPV) Na Judith Mwakibibi Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Haniu amewataka maafisa…
Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.
Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.
Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.
Dira
Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora
Dhamira
Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.
Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo
Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo
Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa
Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo
Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.
Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/