Recent posts
7 March 2024, 2:43 pm
Ushirikishwaji wa Wananchi wazaa matunda Rungwe
Na Mwandishi wetu Elimu ya utambuzi inayotolewa na serikali kwa wananchi imeendelea kuboresha miundombinu mbalimbali kama vile ya elimu. Wakazi wa kata ya Isongole wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamejenga bweni la wavulana katika shule ya sekondari Isongole ikiwa ni hatua…
28 February 2024, 6:46 pm
Jumla ya watoto 61125 kupata chanjo Rungwe
Ili kuhakikisha mtoto analindwa na magonjwa yasiyopewa kipaombele, jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele kujitokeza kuwapatia chanjo. Na lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu ameiomba jamii kutoa ushirikiano kwa walimu wanaowahudumia watoto wenye mahitaji maalum ili watoto…
14 February 2024, 5:38 pm
Bei elekezi kwa zao la parachichi Busokelo
Mkurugenzi wa halmashauri ya Busokelo Loema peter akisungumza kwenye kikao cha wadau wa parachichi Wadau na wakulima wameishukuru serikali kwa kutuoa bei elekezi ya parachichi kwani itamsaidia mwananchi wa kawaida. Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Hamshauri ya Wilaya ya…
8 February 2024, 3:31 pm
Madiwani waonywa Rungwe
Wanasiasa wametakiwa kuwa msitari wa mbele kuwahamasisha wananchi katika shughuli za kimaendeleo ili kuimarisha uchumi wa mmojammoja na Taifa kwa ujumla. RUNGWE-MBEYA Na Lennox MwamakulaMkuu wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu amewataka wafanyabiashara kutopanga bidhaa zao kando ya…
1 February 2024, 4:28 pm
Shule zawa chanzo cha mapato halmashauri ya Rungwe
Serikali yandelea kutafuta vyanzo mbalimbali vya mapato ili kuweza kupeleka huduma kwa wananchi. Na mwanahabari wetu Hii ni shule ya Msingi Nuru iliyopo Kata ya Bagamoyo Tukuyu Mjini yenye mchepuo wa kingereza ambayo inatajwa kupanua maarifa na ujuzi kwa wanafunzi…
1 February 2024, 4:15 pm
Tahadhari yatolewa kwa wananchi wilayani Rungwe kujikinga na ugonjwa wa kipindup…
Jamii imetakiwa kutunza mazingira ili kuepukana na mangojwa ya mlipuko kama kipindupindu. Na Lennox mwamakula Wananchi wametakiwa kuchukua Tahadhari ya ugonjwa wa mlipuko wa kipindupindu ulioripotiwa sehemu za mikoa mbalimbali pamoja na mkoa wa jirani wa songwe. Kauli imetolewa na…
1 February 2024, 2:47 pm
Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwenye vyombo vya maamuzi Rungwe
katika kuadhimisha siku ya sheria jamii pamoja na wadau mbalimbali wameaswa kuwa na utaratibu wa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya maamuzi kama mahakama. Aakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya akizungumza na wadau washeria[picha na Lennox Mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox…
31 January 2024, 1:35 pm
Wananchi watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto
Jamii imeshauriwa kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kujenga mwili pamoja na kuimarisha afya ya akili kwa ujumla. Na Sabina Martin Wanafunzi waliopatiwa elimu ya lishe bora halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mabalozi wa lishe katika…
30 January 2024, 5:51 pm
Zaidi ya kiasi cha shilingi Billion 60, 672,404,687.00 kimependekezwa kwa mwaka…
Halmashauri imejizatiti kukusanya zaidi ya kiasi cha shilingi bilioni 60.672 ili kuendelea kukamilisha miradi yote ya kipaombele na kuwaondolea changamoto wakazi wa Rungwe Kikao maalumu cha Baraza la Madiwani kimeketi leo tarehe 30.01.2024 lengo kuu likiwa ni kupitia na kupitisha…
25 January 2024, 11:47 am
Watoto miaka 5-14 hatarini kupata kichocho Rungwe-Kipindi
Na Lennox Mwamakula – Rungwe Jamii imeshauriwa kutoa ushirikiano pindi watoto wanapo takiwa kupatiwa chanjo ya mangojwa mbalimbali kwani itasaidia kuimarisha kinga kwa watoto Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa kinga ambaye pia ni afisa afya Ndugu Leonard Shaba kwenye…