Recent posts
21 November 2023, 3:17 pm
Tozo za maegesho zawakwamisha bodaboda
RUNGWE-MBEYA Sheria ndogo zinazopitishwa kwenye vikao vya mabaraza ya madiwani kukwamisha baadhi ya shughuli za kimaendeleo kwenye maeneo husika. Na Lennox mwamakula Kutokana na kuwepo kwa kamatakamata ya vyombo vya moto na kutozwa faini ya maegesho waendesha pikipiki maarufu bodadoda…
20 November 2023, 4:10 pm
Michango ya chakula mashuleni kuchochea ufaulu Rungwe
uwepo wa chakula mashuleni kunasaidia kuongeza ufaulu kwa mwanafunzi pia kuna mjengea uwezo wa uwelewa RUNGWE -MBEYA Na Lennox mwamakula Mkuu wa shule ya msingi Mabonde iliyopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya Christine Ndimbo amewaomba wazazi na walezi kujenga utamadudu wa…
20 November 2023, 12:51 pm
Siku 16 za kupinga ukatili; “wekeza kuzuia ukatili wa kijinsia”
Na Sabina Martin: Rungwe- Mbeya Kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, jamii wilayani Rungwe mkoani Mbeya imetakiwa kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili vinavyoendelea katika maeneo yao ili kutokomeza vitendo hivyo. Akizungumza katika kipindi cha amka na chai…
16 November 2023, 1:08 pm
Chai yenye ubora chachu ongezeko la bei
Imetajwa kuwa ongezeko la bei ya chai sokoni inategemea ubora wa majani mabichi ya chai kwani huzalisha majani makavu yenye kiwango kizuri hali inayopelekea kuuzwa kwa bei nzuri katika soko la kimataifa. Na Sabina Martin: Rungwe-Mbeya Kufuatia kuzinduliwa kwa mnada…
16 November 2023, 12:24 pm
TARURA Rungwe yatakiwa kuboresha barabara za vijijini zipitike kipindi chote
Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA katika wilaya ya Rungwe wametakiwa kujenga miundombinu ya barabara za vijijini ili zipitike wakati wote hususani wakati wa mvua ili kurahisisha usafirishaji wa majani mabichi ya chai kutoka shambani hadi kiwandani. Hayo…
13 November 2023, 3:27 pm
Familia ya Mwansasu yawashukuru watanzania
Jamii imeshauriwa kuwaombea viongozi wa serikali ili waweze kuwatumikia kwa moyo Mh,Tulia akiwashukuru wana Rungwe kwa kumuombea kwenye shuguli za Serikali [picha na lennox mwamakula] RUNGWE.MBEYA Na Lennox mwamakula Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Tulia Ackson…
1 November 2023, 7:51 pm
Wakala afikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi Rungwe
Na Mwandishi wetu: Rungwe – Mbeya Wakala wa kukusanya ushuru katika halmashauri ya wilaya ya Rungwe amefikishwa mahakamani kutokana na kesi ya uhujumu uchumi. Oktoba 30, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Rungwe, mbele ya Hakimu Mhe. Mwinjuma Bakari Banga imefunguliwa…
1 November 2023, 7:40 pm
Madiwani Rungwe waonywa kuingilia majukumu ya watendaji
Mkurugenzi wa halmashauri ya Busokelo wa pili kutoka kulia akijiandaa kusoma majina ya waliopata tuzo. Kutokana na baadhi ya madiwani kuingilia majukumu ya watendaji wa vijiji, imeelezwa imekuwa sababu ya kutofanya majukumu yao ipasavyo. Na Evodia Ngeng’ena : Rungwe- Mbeya…
30 October 2023, 9:33 am
Rungwe yazindua programu jumuishi kupuguza tatizo la afya ya akili
Matatizo mengi ya afya ya akili ni matokeo ya kutozingatia malezi, makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto katika hatua zake za ukuaji kwa kipindi cha kuanzia mwaka 0-8. Na Sabina Martin – Rungwe Utekelezaji madhubuti wa programu jumuishi ya…
25 October 2023, 10:06 am
Rungwe yakabiliwa na udumavu kwa asilimia 26.5
Ulaji wa chakula usiozingatia lishe bora umetajwa kuwa sababu inayochangia udumavu kwa watoto wengi wilayani Rungwe. Na Lennox Mwamakula, Rungwe Imeelezwa kuwa halmashauri ya wilaya ya Rungwe inakabiliwa na kiwango cha udumavu kwa asilimia 26.5 huku sababu ikitajwa kuwa ni…