Boma Hai FM
Boma Hai FM
5 March 2024, 1:33 pm
Wanawake wilayani Hai wametakiwa kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na kujitokeza kwa wingi katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inayotarajiwa kuadhimishwa Machi 8 mwaka huu. Na Elizabeth Mafie Wanawake wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kujitokeza kushiriki…
23 February 2024, 10:06 am
Vikundi vya vijana ,wanawake na watu wenye ulemavu wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kurejesha mikopo waliyochukua katika halmashauri ya wilaya hiyo kama utaratibu unavyoelekeza. Na Janeth Joachim Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kurejesha fedha za mikopo ya halmashauri zinazotolewa…
22 February 2024, 12:37 pm
Kutokana na jitihada za Mkurugenzi mtendaji pamoja na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya siha za ukosanyaji wa mapato,baraza la madiwani wa halmashauri hiyo latoa pongezi. Na Elizabeth Mafie Baraza la madiwani wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro limempongeza mkurugenzi…
7 February 2024, 5:57 pm
Kutokana na baadhi ya wananchi kutumia vilevi mbalimbali wakati wa kazi imetajwa kuwa sababu ya vitendo vya uhalifu pamoja na ukatili. Na Janeth Joackimu Wananchi wa kijiji cha Nronga Kilichopo kata ya Machame Magharibi wametakiwa kuacha tabia ya unywaji wa…
6 February 2024, 8:26 am
Soko la Mbuyuni limeteketea kwa moto na kuwasababisha hasara kwa wafanyabiashara wa soko hilo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amefika soko la Mbuyuni lililoteketea kwa moto usiku huu…
5 February 2024, 12:23 pm
Chama cha mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro kimewataka baadhi ya wanachama ambao wamekuwa wakikiuka taratibu za chama kwa kuomba kura kwa wananchi kabla ya uchaguzi kuacha mara moja. Na Elizabeth Mafie Chama cha Mapinduzi (CCM ) mkoa wa Kilimanjaro kimetoa onyo…
29 January 2024, 1:04 pm
Bodi ya maji Bonde la Pangani kwa kushirikiana na Jumuiya ya watumia maji mto Kware wamewataka wananchi katika kata ya Masama Magharibi wanaoharibu vyanzo vya maji kwa kukata miti kuacha mara moja na badala yake watunze vyanzo hivyo. Na Elizabeth…
23 January 2024, 12:59 pm
Wagonjwa mbalimbali kutoka hospitali maalum ya taifa ya magonjwa ambukizi kibon’goto waridhishwa na huduma. Na Elizabeth Mafie Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali maalumu ya Taifa ya magonjwa ambukizi Kibong’oto iliyopo wilayani Siha mkoani Kilimnjaro Dkt Leornad Subi amesema hospitali hiyo itaendelea…
18 January 2024, 12:16 pm
Mkuu wa wilaya ya Hai Amiri Mkalipa awataka wananchi kutunza mazingira. Na Elizabeth Mafie Wananchi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wametakiwa kulinda na kutunza mazingira ili kuhifadhi vyanzo vya maji dhidi ya uharibifu na kubaki salama kwaajili ya vizazi vijavyo. Kauli…
16 January 2024, 11:58 am
Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Same Mkoani Kilimanjaro na zimesababisha madhara katika miundombinu ya barabara pamoja na kusababisha watu kupoteza maisha. Na Elizabeth Mafie Watu watatu wamefariki Dunia Wilayani same Mkoani Kilimanjaro kwa kufukiwa na nyumba na mmoja…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha