Boma Hai FM
Boma Hai FM
6 January 2024, 10:21 pm
Aliyekuwa katibu wa mbunge jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Na Elizabeth Mafie Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu wake…
5 January 2024, 11:23 pm
Zikiwa zimebaki siku chache shule za msingi na sekondari kufunguliwa hapa nchini mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu atoa wito kwa wakuu wa shule. Na Elizabeth Mafie Wito umetolewa kwa wakuu wa shule za msingi na sekondari katika mkoa…
2 January 2024, 7:06 pm
Baadhi ya wazazi na walezi wametajwa kuwa chanzo cha ukatili kutokana na kutokutoa ushirikiano pindi watoto wao wanapofanyiwa ukatili. Na Elizabeth Mafie Imeelezwa kuwa kudidimia kwa ndoto za watoto wengi hasa wa kike wilayani Same mkoani Kilimanjaro kunatokana na baadhi…
25 December 2023, 9:54 am
Wananchi wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro watakiwa kusheherekea sikukuu za Christmass na mwaka mpya kwa amani na utulivu. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro Dkt Christopher Timbuka amesema wamejipanga kuhakikisha usalama wa raia na mali zao katika…
24 December 2023, 7:04 pm
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati Dkt Dotto Biteko amesisistiza ushiriki wa matukio ya kijamii ikiwemo shughuli za kijamii,michezo na matamasha mbali mbali ikiwa ni njia moja wapo ya kuwakutanisha wananchi na taasisi lakini pia kuwajengea mahusiano mazuri baina…
22 December 2023, 2:20 pm
Vifaa tiba pamoja na gari vilivyokabidhiwa katika hospitali ya wilaya ya Siha (picha na Elizabeth Mafie) Hospitali ya wilaya ya Siha imekabidhiwa vifaa tiba pamoja na magari vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia tisa. Na Elizabeth Mafie Ambulance…
21 December 2023, 9:52 pm
Chama cha ushirika wa akiba na mikopo Hai Rural Teachers SACCOS (HRT) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimetoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi wenye uhitaji kutoka shule 16 za wilaya ya Siha. Na Elizabeth Mafie Chama cha Ushirika wa …
20 December 2023, 10:03 pm
Kwa upande wake kaimu wa idara ya mifugo,kilimo na uvuvi ndugu Fraiten Mtika amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia suluhu Hassan kwa kuwaletea pikipiki hizo mpya ambazo ni vitendea kazi muhimu kwaajili ya kuwafikia wananchi na…
19 December 2023, 7:42 pm
Taasisi ya moyo Jakaya Kikwete ( JKCI ) yaanza kutoa huduma za matibabu ya kibingwa katika mkoa wa Kilimanjaro. Na Elizabeth Mafie Wananchi mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani wameanza kupatiwa huduma na matibabu ya kibingwa ya ugonjwa wa moyo…
16 December 2023, 9:36 pm
Katika kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, KCMC imefanya hafla kwa ajili ya kusherehekea na watoto wenye changamoto ya saratani pamoja na wazazi wao. Na Elizabeth Mafie Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia…
DIRA
Tunalenga kuhabarisha kuelimisha na kuburudisha kuwa na jamii yenye uzalendo na umoja
DHAMIRA
Kuwa na jamii endelevu iliyoelimika na yenye maendeleo kwa kupata habari sahihi na vipindi bora vyenye kueleimisha