Recent posts
1 February 2022, 5:22 am
UWT Rungwe wapanda miti 50 kuendeleza uhifadhi wa Mazingira
RUNGWE-MBEYA Jumla ya miti hamsini imepandwa na Umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi CCM(UWT) wilayani Rungwe mkoani Mbeya katika Zahanati ya Suma pamoja na ofisi ya chama kwenye kata hiyo ikiwa ni maadhimisho ya miaka 45 tangu kuanziswa kwa…
31 January 2022, 5:48 am
Jamii izingatia maziwa ya mama kwa mtoto mchanga katika kipindi cha siku 1000
RUNGWE-MBEYA Wazazi wanmetakiwa kufuata utaratibu wa kunyonyesha mtoto mchanga maziwa ya mama kwa kipindi cha miezi sita kama inavyo shauriwa na wataalamu wa afya ili kumeposhia mtoto kupapa madhara ya kiafya. kauli hiyo imetolewa na afisa lishe BI JANET MAONA…
29 January 2022, 7:26 am
Jamii ijitokeza kupata matibabu ugonjwa wa Ukoma
RUNGWE-MBEYA Jamii imetakiwa kujitokeza kupata matibabu pindi waonapo dalili za ugonjwa wa Ukoma hali itakayosaidia kuzuia maambukizi kwa wengine. Rai hiyo imetolewa na Mratibu wa kifua kikuu na Ukoma wilayani Rungwe Daktari Emmanuel Asukile alipokuwa akizungumzia kuelekea maadhimisho ya siku…
27 January 2022, 6:58 am
Abiria watoe taarifa kuepusha ajali barabarani
RUNGWE-MBEYA Tabia za kibinadamu zimepelekea kuongezeka kwa ajali barabarani kote nchini hadi kufikia asilimia 76% kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa hivi karibuni na jeshi la polisi. Akizungumza na Radio cha FM kupitia kipindi cha Amka na Chai Mkuu wa kikosi…
26 January 2022, 8:50 am
Wananchi waitumie wiki ya sheria kupata msaada wa kisheria
RUNGWE-MBEYA Kuelekea kilele cha wiki ya sheria nchini mahakama wilayani Rungwe imewataka wananchi kujitokeza katika maeneo ambayo zoezi la utoaji elimu litakuwa likifanyika . Akizungumza na Radio Chai Kaimu Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Rungwe Bw.Augustine Lugome amesema utaratibu huu …
3 January 2022, 9:46 am
Madarasa 24 yakamilikika kwa asilimia 100
RUNGWE-MBEYA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Busokelo Bi, LOEMA PETER amekabidhi takribani vyumba vya madarasa 24 kwa Mkuu wa wilaya ya Rungwe baada ya kumalika ndani ya muda ulio pangwa. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza na kituo hiki huku akieleza…
24 December 2021, 5:45 am
Umbali chazo cha unyanyasaji wilayani Rungwe
Umbali wa malezi uliopo baina ya wazazi, walezi, walimu na watoto imetajwa kuwa moja kati ya sababu zinazopelekea kushamiri kwa vitendo vya unyanyasaji dhidi ya watoto wilayani Rungwe mkoani Mbeya. Aidha jamii imetakiwa kuwalinda zaidi watoto huku wazazi wakitakiwa kujenga…
16 December 2021, 2:27 pm
Vitabu zaidi ya elfu tatu vyapokelewa Rungwe
RUNGWE. Katika kuboresha mazingira ya elimu nchini wadau mbalimbali wa elimu wameshauriwa kusaidia vifaa mbalimbali kama vile vitabu vya kiada na ziada. Akizungumza mara baada ya kupokea vitabu kutokea taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Sakyambo interprisess yenye makao makuu yake…
14 December 2021, 5:14 am
Jamii iwatembelee watu wenye uhitaji
RUNGWE-MBEYA Wazazi na walezi wameaswa kuwajali na kuwathamini watu wenye uhitaji kwa kutoa mahitaji muhimu kwa watoto hao ikiwemo kuwatembelea katika maeneo mbalimbali kwani itasaidia kuongeza faraja kwao. Hayo yamezungumzwa na Umoja wa akina mama kutoka Katumba walipo watembelea watoto…
28 November 2021, 8:42 am
Serikali kutenga fedha kwajili ya kuboresha miundombinu ya maji Rungwe
RUNGWE-MBEYA Mbunge wa jimbo la Rungwe ANTON MWANTONA amesema tatizo la maji linalo wakabili wanachi wa jimbo la Rungwe linaenda kumalizika baada ya serikali kutenga fedha kwajili ya kuboresha miundombinu ya maji kauli hiyo ameitoa wakati alipokuwa akizungunza na na…