On air
Play internet radio

Recent posts

11 November 2024, 1:10 pm

CCM yazidi kuvunja ngome ya CHADEMA Rungwe

Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chama cha mapinduzi wilayani Rungwe kimezidi kuvuna wanachama wapya kutoka chama kikuu cha upinzani RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi wilaya ya Rungwe akizungumza na…

8 November 2024, 11:00 am

CCM Rungwe yavuna wanachama wapya

Sintofahamu yaibuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendelo wilayani Rungwe na baadhi kuhamia Chama Cha Mapinduzi RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wakazi wa kitongoji cha kibumbe kata ya kiwira wilayani Rungwe Mkoani Mbeya…

7 November 2024, 10:56 am

Viongozi wa serikali za mitaa chachu ya maendeleo Busokelo

wanachi wametakiwa kujitokeza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwani ni haki yao kuchagua viongozi wanao wataka RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Katika kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 mwaka huu wananchi wametakiwa kujitokeza kwa wingi…

5 November 2024, 10:53 am

Elimu ya uzalendo yatolewa kwa vijana Rungwe

Mchungaji /mwalimu Methew Chawala akizungunza na waumini wa kanisa hilo Wazazi na walezi wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyo chamili kwenye jamii RUNGWE -MBEYA Na Lennox Mwamakula Mwangalizi wa makanisa ya pentecoste Hollinests Association Mission…

27 October 2024, 11:08 am

Mdau achangia zaidi ya shilingi milioni 38 maendeleo Rungwe

Viongozi wa dini wameombwa kuwa mstari wa mbele kukemea mmomonyoko wa maadili kwenye jamii RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Zaidi ya shilingi milioni 38 zimepatikana kwenye harambee ya kuchangia ununuzi wa gari aina ya coaster kwaji ya kwanya ya Watakatifu Petro…

11 October 2024, 4:18 pm

Wananchi wameridhishwa na zoezi la uandikishaji Rungwe

zoezi la uandikishaji kwenye daftari la mkazi kimeanza mapema hii leo octoba 11 hivyo kila wananchi unatakiwa kushiriki kikamilifu RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Wananchi wilayani Rungwe, mkoani Mbeya wametakiwa kijitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la mkazi ili waweze kuchagua…

10 October 2024, 5:46 pm

Zao la chai lapatiwa ufumbuzi Rungwe

Ili kukboresha kipato cha mkulima mmojammoja wkulima wametakiwa kutolima kilimo cha mazoea waendane mabadiliko ya tabianchi Na Bahati obeid Afisa kilimo wilayani  Rungwe mkoani Mbeya Steven Mbiza amewataka wakulima  waliopata mafunzo ya shamba darasa kwenda kuwa mabalozi kwa wakulima wengine…

4 October 2024, 6:29 pm

Viongozi wa vyama vya ushirika wamejengewa uwezo Rungwe

vyama vya ushika vimetakiwa kuwa mstari wa mbele kusimamia maslai ya wakulima RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Ili kuhakikisha wakulima wanalima kilimo chenye tija wakulima wanao zalisha  mazao ya kahawa  na  kakao wilayani Rungwe wamepatiwa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa namna…

3 October 2024, 6:08 pm

Barabara ya Lwangwa gesi kuinua uchumi wa wananchi Busokelo

Ili kuinua uchumi wa wananchi serikali imejenga barabara ya kiwango cha lami kwa lengo la mkulima kuweza kusafirisha mazao yake kwa urahisi. Na Lennox Mwamakula Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba John Kabudi ametembelea na kukagua mradi wa barabara …

2 October 2024, 8:13 pm

Baraza la wazee walia na pensheni Rungwe

Katika kuadhimisha Siku ya Wazee Duniani wazee wameiomba serikali kuweka utaratibu wa kuyatambua mabaraza ya wazee nchini NA Lennox Mwamakula Baraza la Ushauri la Wazee wilaya ya Rungwe limeiomba serikali kuanzisha utaratibu maalum wa kuyatambua mabaraza ya wazee kuanzia ngazi…

Kuhusu Chai FM

Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.

Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.

Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.

Dira

Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora

Dhamira

Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.

Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo

Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa

Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.

Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/