Chai FM
Chai FM
24 November 2025, 2:15 pm
Matumizi holela ya dawa yanatajwa kuwa moja kati ya sababu zinaochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa ambayo husababisha vifo vya watu millioni 1.1 kila mwaka duniani.

Na Sabina Martin
Jamii nchini imetakiwa kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo ya
daktari ili kujiepusha na usugu wa magonjwa yatokanayo na usugu wa
vimelea dhidi ya dawa yanasosababishwa na kutomaliza dozi pamoja na
matumizi yasiyo sahihi ya dawa za antibiotic.
Akizungumza na kituo hiki mkaguzi wa dawa kutoka mamlaka ya dawa
na vifaa tiba nchini TMDA nyanda za juu kusini Seleman Mayala
amesema zaidi ya watu million moja hufariki kila mwaka duniani
kutokana na usugu wa vimelea dhidi ya dawa.
Karibu kusikiliza kipindi maalum