Chai FM

Amani chanzo cha umoja na mshikamano wa kitaifa

21 October 2025, 1:55 pm

Uwepo wa amani nchini Tanzania imekua chanzo cha kutokuwepo kwa matabaka ya udini, Ukabila walionacho na wasionacho, badala yake waTanzania wote wamekua na maisha ya kuchangamana bila kubaguana kwa hali yoyote.

Wakwanza kushoto ni SP Janelte Masangano afisa ushilikishwaji wa jamii (W) Rungwe pamoja na afande Felix Kakolanya Mkuu wa usalama barabarani (W) Rungwe DTO wakitoa elimu kuelekea uchaguzi mkuu octoba 29.2025

Karibu kusikiliza mahojiano ya moja kwa moja