Chai FM
Chai FM
28 March 2025, 9:16 am

serikali imetakiwa kutatua changamoto ya bei ya zao la parachichi wilayani Rungwe ili mkulima aweze kunufaika na zao hilo
RUNGWE-MBEYA
Na Erick Gwakisa
Makamu mwenyekiti wa Demokrasia na maendeleo CHADEMA bara Mh.John Heche amemtaka waziri wa kilimo Mh.Hussein Bashe kueleza ukweli kuhusu Bei ya Parachichi kuporomoka wilayani Rungwe tofauti na maeneo mengine yanayo lima zao hilo

Ametoa kauli hiyo mapema wiki hii katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Tandale uliopo Tukuyu mjini wilayani Rungwe mkoani Mbeya wakati wa ziara ya chama hicho

sauti ya Makamu mwenyekiti CHADEMA taifa 1
Hata hivyo Mh. Heche ameshangazwa na Suala la mashamba ya chai kutelekezwa na wakulima kushindwa cha kufanya juu ya zao
sauti ya Makamu mwenyekiti CHADEMA taifa 2
Hata hivyo Heche amesema nchi inatakiwa kuweka mazingira mazuri ya kujenga viwanda vitasaidia vijana kupata ajira kuinua chumi wa taifa

wanachi wakiwa viwanja vya tandale wakimsiliza Makamu mwenyekiti wa CHADEMA taifa
sauti ya Makamu mwenyekiti CHADEMA taifa