Chai FM

Kamati za kata kuunda timu za ushindi Rungwe

24 August 2024, 11:48 am

Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Issa mwakagenda akiongea kwenye baraza la wazazi la chama cha mapinduzi

jamii imeshauriwa kushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ili kupata viongozi bora

RUNGWE-MBEYA

Na lennox Mwamakula

Kamati za utekelezaji  za kata zimatakiwa kuaandaa namna ya kuwapata viongozi bora kupitia chama cha mapinduzi katika  uchaguzi wa serikali za mitaa  unaotarajiwa kufanyika mwezi Novemba mwaka huu

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya  wazazi ya chama cha mapinduzi Ndg, Issa Mwakasendo kwenye kikao cha Baraza la wazazi kilichofanyika kwenye ukumbi wa Mshua peace and love uliopo Tukuyu mjini

sauti ya Mwenyekiti wazazi

Akitoa salamu za chama katibu wa chamama cha mapinduzi wilaya ya Rungwe Abdallah Mpokwa amesema katika kuakikisha chama kinashinda kwenye uchaguzi wa wa serikali za mitaa jumuiya ya wazazi kuanzia ngazi ya kata wakashirikiane kuahikisha wanakisemea chama kwa nmna ilani ilivyotekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano

sauti ya katibu

Kwa upande wao wakuu wa shule za wazazi wamekipongeza chama cha mapinduzi kwakuanzisha shule hizo kwani waamseama zimekuwa kimbilio la wengi kutokana na ubora wake

Aidha akizungumza mkuu wa shule ya wazazi ibungila amesema wakiwa ngazi za kata za chama wakotayari kuhakikisha chama cha mapinduzi kitashinda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hivyo amewaomba wanachama kuwa na mshikamano

sauti ya mkuu wa shule