Chai FM

Elimu ya uzalendo yatolewa kwa vijana Rungwe

5 November 2024, 10:53 am

Mchungaji /mwalimu Methew Chawala akizungunza na waumini wa kanisa hilo

Wazazi na walezi wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyo chamili kwenye jamii

RUNGWE -MBEYA

Na Lennox Mwamakula

Mwangalizi wa makanisa ya pentecoste Hollinests Association Mission Tanzania [PHAMT] Mch,/Mwalimu Mathew Augostin Chawala ameomba jamii kuwa mstari wa mbele kuendelea kutoa elimu ya malezi bora kwa vijana ili kukabiliana na vitendo vya ukatili

Mchungaji chawala ametoa kauli hiyo kwenye ofisi za makao makuu ya kanisa hilo zilizopo kijiji cha iponjola kata ya iponjola ambapo kumefanyika kongamano la vijana ili kutoa elimu juu ya masuala ukatili kwa watoto na kuwaelimisha vijana waweze kujitambua

waumini wakisikiliza neno la Mungu ndani ya kanisa

sauti ya chawala 1

Hata hivyo mchungaji Chawala ameelezea  lengo kuu la kongamano hilo kwa ni kuwakumbusha vijana masuala ya kidunia ili kuwa na kizazi chenye hofu ya Mungu na kizazi chenye uzalendo kwenye Taifa lao na kuwaomb wananchi kujitokeza kwenye uchakuguzi wa serikali za mitaa kwenda kuchagua viongonzi wakatakao wasimamia kwenye ngazi za mitaa,vitongoji na vijiji

sauti ya chawala 2

Aidha Chawala ametoa rai kwa waumini wa wote nchini  bila kujali sehebu kwenda kusingatia yale yote yanayo fundishwa na watumishi wa Mungu kutunza utakatifu ili kuweza kuvisaidia na vyombo vya  usalama na kuwa na Taifa lenye watu wazalendo

sauti ya chawala kuhusu rai

Naye Mwenyekiti wa Jumuiya ya vijana ya kanisa hilo  amwashukuru vijana waliohudhuria kongamano hilo na amewawaomba wakayafanyie kazi yale yote waliofundishwa

sauti ya mwenyekiti