Chai FM

Serikali kuagiza kuundwa kwa mabaraza sherehe za mei mosi

1 May 2024, 6:47 pm

ili kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kinjisia mahala pakazi mabaraza yametakiwa kuamzisha lengo ni kukabiliana na changamoto kwa watumishi.

Rungwe-Mbeya

Na Lennox Mwamakula

Serikali imeziagiza taasisi zote umma na binafsi kuunda mabaraza kwenye taasisi hizo ili kuwawezesha watumishi  wao kuwa na sehemu ya kupeleka malalamiko yao ili waweze kusikilizwa changamoto zao

Kauli hiyo imetolewa na mgeni rasmi  mkuu wa wilaya Rungwe mh,Jaffar Hanniu aliye mwakilisha mkuu wa mkoa wa mbeya kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi ambayo Kwa mkoa wa mbeya yamefanyika wilaya ya Rungwe kwenye viwanja vya chuo Cha ualimu mpuguso

mkuu wa wilaya ya Rungwe Mh,Jaffar Hanniu akizungumza na wafanyakazi kwenye sherehe ya siku ya wafanyakazi akimwakirisha mkuu wa mkoa wa mbeya

Ikisomwa taarifa ya shirikisho  la vyama vya wafanyakazi  nchini TUCTA wamebainisha changamoto wanazo kabiliana nazo wafanyakazi ikiwa ni pamoja kuwepo Kwa vitendo vya uzalilishaji Kwa watumishi sambamba na vitendo vya ukatili Kwa wafanyakazi

sauti ya risala 1

Aidha wafanyakazi wamesema kumekuwepo Kwa baadhi ya taasisi kukwepa kunda mabaraza ya wafanyakazi risha ya serikali kuagiza kuundwa Kwa mabaraza hayo ili wafanyakazi kuwa na nafasi ya kuwa na chombo Cha kusema changamoto wanazo kabiliana nazo

..sauti ya risala 2

Akijibu risala hiyo mgeni rasmi amesema Kuna umuhimu wa kupo Kwa mabaraza ya wafanyakazi kwenye taasisi ili changamoto hizo zilizoanosshwa kuweza kuzimaliza ikiwemo ya vitendo vya uzalilishaji Kwa watumishi mahala pakazi

sauti ya mkuu wa mkoa 1

wafanyakazi wakisherekea siku yao kwenye viwanja chuo cha ualimu mpuguso wilayani Rungwe [picha na Lennox Mwamakula

Hata hivyo Hanniu amesema serikali imeruhusu kuanza kutolewa Kwa mikopo ya halmashauri ili vijana waweze kupatiwa mikopo na kuweza kujimalisha kiuchumi wa mtu mojamoja na taifa Kwa ujumla

sauti ya mkuu wa mkoa 2

Ikumbukwe kuwa siku ya wafanyakazi uadhishwa Kila ifikakapo tarehe 1/5 Kila mwaka na Leo Tanzania imeungana na mataifa mengine ulimwe ulimwenguni na “kauli mbiu  ya Meri mosi mwaka 2024 ni Nyongeza ya mishara ni msingi wa mafao bora na Kinga dhidi ya haki ngumu ya maisha”