Kitulo FM
Kitulo FM
23 November 2023, 12:47 pm
Na mwandishi wetu Wito umetolewa kwa waendesha vyombo vya moto wilayani makete mkoni njombe kuendelea kuheshimu alama za usalama barabarani ili kuepukana na ajali ambazo zinaweza kuzuilika kutokana na uzembe ambao umekuwa ukifanywa na baadhi ya waendesha vyombo vya moto…
23 November 2023, 12:24 pm
Kutokana na kudumu kwa muda mrefu kuhusu mpaka kati ya Makete na Wanging’ombe imetafutiwa ufumbuzi wa tatizo hilo ambao ulikuwa kizungumkuti. na Gift kyando Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya makazi mh Jerry Silaha hii leo ametatua mgogoro wa…
23 November 2023, 9:29 am
Ili kukuza uchumi kwa wananchi serikali kupitia BOT imetoa mafunzo kwa watumishi wa Umma juu ya Kuwekeza kwenye dhamana ya serikali ili kufaidi fulsa za uwekezaji serikalini. Na Ombeni Mgongolwa Luther Luvanda Mhasibu na mwezeshaji wa semina ya wadau juu…
17 November 2023, 7:46 pm
Kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua nyingi, wananchi wameaswa kupanda miti katika maeneo yao ili kuepukana na adha ya kuezuliwa nyumba zao. Na mwandishi wetu. Mkuu wa wilaya ya Makete Mhe. Juma Sweda ametoa pole kwa wananchi…
17 November 2023, 6:53 pm
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Makete Mh. Christopher Fungo pamoja na viongozi wengine katika kikao cha baraza la madiwani. Picha na Ombeni Mgongolwa Ili kuhakikisha maendeleo kwa wananchi yanawafikia hususani viongozi nao kuwajibika katika nafasi zao imeonesha utoro kwa baadhi…
12 November 2023, 2:04 am
Mtumishi wa Mungu na mwimbaji wa Nyimbo za Injili Juma Kyando alimaarufu kwa Jina la Kibonge wa Yesu,ameachia Nyimbo mbili usiku wa kuamukia tarehe 11Nov 2023 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya Siku yake ya kuzaliwa na Aldo Sanga Mwanamuziki…
7 November 2023, 2:19 pm
Katika kudumisha uzalendo kwa wananchi wa Tanzania, vijana 99 wa kata ya Mfumbi wamefuzu mafunzo ya jeshi la akiba maarufu kama mgambo wilayani Makete mkoani Njombe lengo likiwa ni kuimarisha ulinzi na usalama kwa jamii. Na mwandishi wetu. Mkuu wa…
1 November 2023, 1:19 pm
baada ya wananchi wa kijiji cha kisinga kupaza sauti dhidi ya mlemavu Sinahabari mbunge wa jimbo la makete Festo Sanga kwa kushirikiana na wadau mbali mbali wamemkabidhi baiskeli yenye thamani ya shilingi milioni moja Na Ahazi Ndelwa. Mbunge wa jimbo…
1 November 2023, 11:27 am
Hivi karibuni Makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Philipo Mpango alizindua mtambo wa kuzalisha umeme ijangala wenye kilowati 360 kutokana na umuhimu wa umeme katika shughuli mbali mbali na wengi wao kujiajiri kupitia umeme wadau mbali…
1 November 2023, 11:02 am
Moja ya njia mojawapo Ssrikali inaendelea kupambana ni kuhakikisha elimu inaendelea kutolewa kwa wananchi wake kuhakikisha wanajikinga na kuwalinda wengine dhidi ya maambuki ya ukimwi. Na Rose Njinile. Kutokana na maambukizi ya virusi vya ukimwi kuendelea mpaka kufikia asilimia 10.4…
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo