Kitulo FM
Kitulo FM
22 January 2024, 8:04 pm
Waziri Bashungwa amefanya ziara katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Mbeya- Makete kwa kiwango cha lami huku akitoa maelekezo kwa mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi ikiwa nipamoja na kuongeza mitambo ili kuendana na mkataba wamradi huo Na Aldo Sanga…
21 January 2024, 9:53 pm
Ikiwa nisiku chache tangu Askofu Eusebius aingizwe kazini katika jimbo la Njombe mapema hii leo amefanya ziara yake ya kwanza katika parokia ya Makete ibada iliyohudhuriwa na mamia ya wanamakete wakiwemo viongozi mbalimbali wa vyama na serikali. Na Mwandishi wetu…
20 January 2024, 9:01 pm
Ikiwa mamlaka za utabiri wa hali ya hewa nchini zinazidi kutoa tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, baadhi ya maeneo katika mikoa na wilaya kumetokea athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifo vya binadamu pamoja na uharibifu wa miundombinu.…
19 January 2024, 10:34 pm
Katika mwendelezo wa ziara za Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Samweli Sweda, mapema hii leo amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya wilaya ya Makete na kubaini baadhi ya changamoto ikiwemo baadhi ya vifaa tiba kutotumika tangu 2021. Mkuu…
19 January 2024, 6:30 pm
na mwandishi wetu. Imeelezwa kuwa barabara ni moja ya njia inayowasaidia wanananchi kuweza kujikwamua kiuchumi. mkuu wa wilaya makete mh juma sweda ametembela barabara ya kinyika- mlondwe na kuona changamoto inayowakumba wanachi wa maeneo hayo na kuahidi kutoa kiasi cha…
19 January 2024, 5:56 pm
na mwandishi wetu kutokana na fedha nyngi kutolewa na serikali viongozi mbali mbali na wananchi wahimizwa kutunza miradi hiyo Mkuu wa wilaya ya makete mh Juma Sweda amemshukuru Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mh Samia Suluh Hassani kwa…
7 December 2023, 1:13 pm
Kutokana na fedha kutolewa na serikali ili kufanikisha miradi inatekelezwa katika maeneo mbali mbali dc sweda ameendelea kuhakikisha anafatilia kwa karibu miradi hiyo ili weze kukamilika kwa wakati Na mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya Makete Mhe. Juma Sweda amewataka viongozi…
7 December 2023, 12:49 pm
Katika kukabiliana na ajali za barabarani vijana bodaboda wametahadharishwa kuwa makini wanapokuwa barabarani wakati wa usiku wakijitafutia kipato kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea ya kiuharifu na shafii Madereva pikipiki (bodaboda) Wilayani Makete Mkoani Njombe wameshauriwa kufuata sheria za barabarani kwa…
28 November 2023, 11:58 am
baadhi ya viongozi wa serikali ya kijiji na jeshi la polisi kwenye mkutano na waendesha bodaboda.picha na mwandishi wetu licha ya jitihada za serikali kuendelea kutoa elimu kwa vijana kuanzisha vikundi pamoja na kupata mikopo vijana wa bodaboda ndulamo kupitia…
27 November 2023, 7:24 pm
kutokana na jitihada za serikali kuendelea kujenga vyuo vya veta nchini imekuwa ni chachu kwa vijana kunufaika na mafunzo hayo katika kujiinua kiuchumi na shafii Kamishna msaidizi na mkuu wa hifadhi ya kitulo ambaye pia alikuwa mgeni rasmi katika maafali…
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo