Kitulo FM
Kitulo FM
15 September 2023, 10:50 am
Wakazi wa kata ya Iwawa wilaya ya Makete mkoani Njombe wametakiwa kutunza miundombinu na vifaa vya ujenzi katika Hosptitali ya Wilaya pamoja na kuacha kufunga mifugo yao kuzunguka eneo la Hosptitali hiyo.Wito huo umetolewa na Dkt. Kitundu kwa niaba ya…
12 September 2023, 12:22 pm
kutokana na uchakavu wa madarasa katika shule ya msingi unenamwa ilioko kata ya luwumbu mbunge wa jimbo la makete Mh Festo Sanga amekabidhi shilingi laki 5 na elfu sabii. na Lulu Samson MBUNGE wa jimbo la makete mh festo sanga…
12 September 2023, 10:29 am
kulingana na serikali kutoa ruzuku ya pembejeo wakulima wametakiwa kuendelea kuhuisha taarifa zao kwenye daftari kwa wakati ili kuepuka usumbufu wa kupata pembejeo na mwandishi wetu Wakulima Wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kwenda kwenye Ofisi za Vijiji ili kuhuisha taarifa…
11 September 2023, 12:50 pm
Juhudi za kuendelea kutoa elimu kwa wananchi zinaendelea kutunza mazingira kwa kutopeleka mifugo katika eneo la hospitali. Furahisha Nundu – Makete Wakazi wa kata ya Iwawa wilaya ya Makete mkoani Njombe wametakiwa kutunza miundombinu na vifaa vya ujenzi katika Hosptitali…
1 September 2023, 7:25 am
Wananchi pimeni Ardhi mpate Hatimiliki-Maofisa Ardhi Makete
31 August 2023, 2:11 pm
Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Makete wafanya Kikao maalumu kujadili taarifa ya fedha mwaka 2022/2023
31 August 2023, 9:19 am
Shirikisho la Vyama vya watu wenye ulemavu Wilayani Makete limefanya uchaguzi wa kuwapata viongozi wa Chama hicho na kumchagua BI. MARIA MSIGWA kuwa Mwenyekiti wa shirikisho hilo Katika uchaguzi uliofanyika Agosti 30, 2023 katika ukumbi mdogo wa mikutano wa halmashauri…
27 August 2023, 8:28 pm
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema utamaduni unaodumishwa katika Taifa umesaidia kudumisha Amani tofauti na Mataifa mengine.
27 August 2023, 7:58 pm
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe. Kapt Mstaafu George Mkuchika ameiasa jamii kuenzi mila na desturi za Tanzania ambazo ndio utambulisho wa Taifa hilo ndani na nje ya nchi, na kuacha kuiga utamaduni usiofaa wa Mataifa mengine.
26 August 2023, 12:56 pm
Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Makete wafanya uchaguzi na kumpata Mwenyekiti wa Halmashauri
Kitulo Fm radio ni kituo cha kijamii kinachozalisha maudhui yenye hadhi ya kujenga jamii ya kitulo