Recent posts
30 January 2023, 10:25 am
Nishati safi ya kupikia Je wanawake Pangani wanasemaje?
Hujambo na Karibu kusikiliza Makala maalumu inayoangazia namna wanawake wanavyoweza kutumia nishati safi ya kupikia ili kutunza mazingira.
14 December 2022, 9:44 pm
Kivuko cha Pangani kuanza kufanya kazi kwa saa 18
Hatimaye kufuatia hitaji la muda mrefu leo hii Serikali Wilayani Pangani Mkoani Tanga imetangaza kuwa Kivuko cha Pangani-Bweni kimeongezewa muda wa saa 2 za kufanya kazi tofauti na muda wa awali ambapo klikuwa kikifanya kazi kuanzia saa 12 Asubuh mpaka…
22 November 2022, 4:35 pm
Mguso kwa Watumishi wapya Pangani.
Watumishi wa kada mbalimbali za Halmashauri ya wilaya ya Pangani waloshiriki kwenye mafunzo ya Siku tatu ya uongozi wa mguso yanayotolewa na Shirika la UZIKWASA wamelishukuru shirika hilo na kuahidi kuyafanyia kazi ili kuongeza ufanisi katika utoaji huduma pamoja na…
25 October 2022, 12:18 pm
Wagawa Mizinga 40 ya Nyuki Pangani
Taasisi ya Foundation for Trees Tanzania iliyopo Jijini Tanga imetoa Mizinga 40 ya Nyuki kwa Kikundi cha Ufugaji Nyuki cha MSETO kilichopo Wilayani Pangani ili kuwezesha wananchi hao kufanya shughuli za ufugaji na kuachana na uharibifu wa Mazingira. Akizungumza wakati…
19 October 2022, 2:50 pm
Mpango wa Ofisi ya Umwagiliaji Pangani.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuanzisha Ofisi ya umwagiliaji wilayani Pangani ili kusaidia sekta ya kilimo wilayani humo ambayo imeonekana kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi huku wahanga wakubwa wakitajwa kuwa ni wakulima wadogo Katika mahojiano…
19 October 2022, 1:51 pm
Benzema ashinda Ballon d’Or kwa Sauti ya Pangani FM.
Ulimwengu wa Soka hujumuika mara moja kwa kila mwaka tangu mwaka 1956 ili kumtangaza mwanasoka bora wa mwaka husika. Oktoba 15 mwaka huu jijini Paris pale katika Théâtre du Châtelet Mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid na Timu ya…
20 September 2022, 2:53 pm
Watu 900 watibiwa macho Pangani
Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…
5 September 2022, 9:21 pm
Mwanafunzi bora wa kijiji aomba msaada kuendelea na masomo Pangani
Mwanafunzi Aisha Ramadhani (20) mkazi wa Kijiji cha Stahabu wilayani Pangani mkoani Tanga ameomba wadau mbalimbali kumsaidiwa kwa hali na mali ili ili aweze kumudu kujiunga na masomo ya chuo baada ya kufanikiwa kuhitimu na kufaulu masomo ya Sekondari. …
19 August 2022, 10:22 am
Stamina ndani ya Banja Beat ya Pangani FM
Niaje, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM Leo hii tumekuletea mkali wa vina na ‘wordplay’ stamina ambaye amepia stori na Mtangazaji wetu Stephano Simanagwa katika kipindi cha Banja Beat kinachokwenda hewani Jumatatu mpaka Ijumaa saa 8 kamili mchana mpaka saa…
17 August 2022, 4:04 pm
Watu Nane wa Familia Moja wahisiwa kula chakula chenye Sumu Pangani.
Hali ya afya ya watu wa familia moja waliopata madhara baada ya kula chakula kinachohisiwa kuwa kimechanganyika na sumu wilayani Pangani Mkoani Tanga inaendelea vizuri na tayari saba kati yao wameruhusiwa kutoka hospitalini huku mmoja akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.…