Recent posts
6 October 2023, 1:34 pm
TARURA kuufungua mji wa Pangani kwa barabara za lami
Ukimulika nyoka unaanzia miguuni, kwahiyo tumeanza kujenga barabara za mjini kisha tutaenda kujenga za vijijini. Na Maajabu Ally. Uongozi wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini TARURA wilaya ya Pangani mkoani Tanga umesema unaendelea kuufungua mji huo kwa kujenga…
21 September 2023, 12:46 pm
Wakazi wa Pangani watakiwa kuchukua tahadhari kabla ya msimu wa mvua za El nino
“nawaomba wananchi wanaoishi maeneo ambayo yanapitiwa na mafuriko kuhama kabla mvua hazijaanza” Na Maajabu Ally Wananchi wanaoishi katika maeneo ya bondeni Wilayani Pangani Mkoani TANGA wametakiwa kuchukua tahadhari kufuatia taarifa za uwepo wa mvua za El nino Tahadhari hiyo imetolewa…
21 September 2023, 12:10 pm
Wajasiriamali waaswa kujitangaza kupitia maonesho ya Pangani.
Ni nafasi pekee kwa wajasiriamali kutambulika na mabenki na fursa ya kupata mikopo. Na Mwandishi wetu. Wajasiriamali wameaswa kushiriki kwenye Maonesho ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Bomani katika Wilayani Pangani ili kutangaza biashara zao. Meneja wa Benki ya…
21 May 2023, 1:02 pm
Mama Valerie: Uzoefu wa miaka 20 Pangani, namna ya kuheshimu tamaduni za wengine
Ni muhimu sana kuvaa nguo vizuri kulingana na mazingira yako, mimi navaa tofauti sana nikiwa Uingereza kuliko hapa, Tanzania hasa Pangani kuna waumini wengi wa dini ya Kiislamu, sio vizuri kuvaa kaptura ni muhimu sana kuwa na heshima kwa tamaduni…
19 May 2023, 2:57 pm
Miradi 9 kumulikwa na mwenge wa uhuru Pangani
Na Saa Zumo Miradi tisa ya kimaendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 1.8 inatarajiwa kukaguliwa katika mbio za mwenge wa uhuru mwaka 2023 wilayani Pangani mkoani Tanga. Akizungumza katika kikao cha tathmini ya mapokezi ya mwenge wilayani Pangani…
12 May 2023, 1:41 pm
Wauguzi Pangani waombwa kuboresha mawasiliano kwa wagonjwa
Na Erick Mallya Ikiwa leo ni siku wa wauguzi duniani,wauguzi wilayani pangani mkoani tanga wameombwa kuboresha mahusiano na mawasliano baina yao na wagonjwa Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi wilayani pangani walipozungumza na pangani FM katika ripoti maalum ya maadhmiho…
10 May 2023, 12:12 pm
Simba wavamia na kuua mifugo Pangani.
Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga hususan wanaokaa ng’ambo ya mto Pangani kuanzia kijiji cha Bweni wametakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya wanyama aina ya Simba waliovamia baadhi ya vijiji. Kuanzia mwisho wa mwezi Aprili mwaka 2023 kumekuwa na matukio ya kuonekana…
11 April 2023, 11:05 am
Simanzi: Binti aliyejinyonga Pangani
Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Mwajuma Fadhili anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 14 mwanafunzi wa Darasa la Saba wa shule ya Msingi Kimang’a wilayani pangani Mkoani Tanga amekutwa amejinyonga Aprili 9 usiku. Akizungumza na Pangani FM kaimu mkuu…
27 March 2023, 12:23 pm
Tree of Hope wabaini haya Pangani
Shirika lisilo la Kiserikali TREE OF HOPE lenye makao yake makuu jijini Tanga limekutana na wadau wa elimu katika vijiji vya Ubangaa, Stahabu, Kipumbwi na Mkalamo katika mdahalo uliolenga kujadili changamoto za elimu wilayani Pangani. Akizungumza na Pangani FM baada…
24 March 2023, 9:16 am
Siku ya Kifua Kikuu Duniani 2023
Leo ni siku ya Kifua Kikuu au TB duniani kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema kila mwaka, Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000, sawa…