Recent posts
4 June 2024, 10:08 am
Ni hatari kutozima chombo cha moto ukiwa sheli
Usalama dhidi ya moto ni pamoja na madereva wa vyombo vya moto kujua na kuzingatia maelekezo yakuzima vyombo vyao vya moto wanapokuwa katika vituo vya kuongezea mafuta. Na Majabu Madiwa Waendeshaji wa Vyombo vya Moto Wilaya ya Pangani wametakiwa kuzima…
3 June 2024, 10:00 am
Majiko banifu yatolewe kwa familia duni
Majiko banifu itawasaidia familia duni kuchangia katika mapambano ya mabadiliko ya tabia nchi kwakuwa uwezo wao ni mdogo katika kumudu gharama za aina nyingine za nishati safi ya kupikia. Na Abdilhalim Shukuran Kamati ya MTAKUWWA na mazingira katika Kijiji cha…
1 June 2024, 10:05 pm
Wafugaji, jifunzeni kupitia tafiti za TALIRI
Wafugaji wengi wamekuwa wakivuna maziwa machache kwa mifugo yao, lakini kwa sasa kuna teknolojia itakayowezesha mfugaji kuvuna maziwa mengi kutoka kwenye mifugo yake. Na Cosmas Clement Wafugaji wa ng’ombe mkoani Tanga wametakiwa kujenga utamaduni wa kutembelea na kujifunza katika kituo…
31 May 2024, 11:54 pm
Doria zaimarisha uhai wa misitu Muheza
Watu wameacha kuharibu misitu kutokana na sheria tulizoweka pamoja na doria, kwa sasa hata kama ni baba au ndugu yako akiharibu msitu utampeleka mbele ya sheria. Na Hamisi Makungu Doria za mara kwa mara katika hifadhi ya misitu wilayani Muheza…
31 May 2024, 11:37 pm
Wenza msiwekeane vikwazo kufanya kazi
Migogoro mingi imekuwa ikiibuka kutokana na changamoto ya wenza wa kike wanapopangiwa zamu za kulinda usiku katika kampuni ya mkonge. Na Saa Zumo Jamii ya Kijiji cha Mtango Wilayani Pangani mkoani Tanga imetakiwa kuona umuhimu wa wenza wao kufanya kazi…
31 May 2024, 11:07 pm
Muheza wajadili, mikakati kuboresha elimu
Ili kufanikiwa katika kuboresha elimu inatuhitaji kuwa na nguvu ya pamoja na mikakati ya kutuvusha hapa tulipo. Na Hamisi Makungu Serikali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imefanya kikao kazi chenye lengo la kuongeza ufanisi wa wilaya hiyo katika sekta…
17 May 2024, 5:12 pm
Pangani DC yafikia 77% ya mapato 2023/24
Ukusanyaji wa mapato ndiyo msingi wa huduma bora kwa wananchi, watendaji wa halmashauri ongezeni nguvu katika makusanyo. Na Cosmas Clement Halmashauri ya wilaya ya Pangani imesema imefanikiwa kukusanya asilimia 77 ya bajeti ya mapato ya ndani, kupitia mapato lindwa na…
8 May 2024, 10:26 pm
Tenki lazuia michango ya chakula shuleni
Kabla ya mwezi wa pili zoezi la kuchangia chakula cha shule ya msingi Bushiri lilikuwa likiendelea vizuri na kufikia idadi ya wazazi 200 lakini baada ya kuibwa kwa tenki hilo idadi imepungua kufikia 40. Na Cosmas Clement Baadhi ya wazazi…
8 May 2024, 9:39 am
Chama cha Mapinduzi chajivunia utekelezaji wa miradi Tanga
Miradi ya ujenzi wa barabara na majengo ya zahanati vituo vya afya na hospitali na maji yanalenga kutoa huduma bora kwa wananchi. Na Cosmas Clement Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tanga kimesema serikali ya chama hicho inaendelea kutekeleza miradi mbalimbalii…
7 May 2024, 11:50 pm
Majiko banifu, kulinda misitu wilaya ya Pangani
Shirika la Uzima Kwa Sanaa (UZIKWASA) limeendesha mafunzo ya utengezaji wa majiko banifu kwa wajumbe 6 wa kamati za mazingira zisizopungua saba za wilaya ya Pangani ikiwa ni moja ya afua zake katika mradi wa mazingira na mabadiliko ya tabia…