Pangani FM

Recent posts

22 June 2024, 9:56 am

Wapeni watoto haki zao

Kutokana na matukio ya ukatili kuongeza wazazi na walezi wengi wamekuwa wakiwazuia watoto wao kucheza ama kuwapa muda mchache wa kucheza. Na mwandishi wetu. Wazazi na walezi wilayani panagani wametakiwa kuwapa uhuru watoto wao ikiwemo uhuru wa kucheza na kusikilizwa.…

17 June 2024, 9:20 am

DC Kilakala: Mzee anayetongoza wavulana akamatwe

Matukio ya ulawiti kwa watoto wa kiume yamekuwa yakitajwa kuongezeka na yakitajwa kutekelezwa na watu wakubwa, huku vijana wakijifunza kutoka kwa wakubwa. Na Hamisi Makungu Vyombo vya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga vimeagizwa kumkamata Mzee mmoja anayetuhumiwa…

10 June 2024, 9:51 pm

Talaka sababu ya ulawiti kwa watoto Pangani

Matukio ya ukatili ikiwemo ulawiti, inatajwa kuendelea kutokea ingawa jitihada za wadau zikifanyika dhidi ya matukio hayo huku utelekezaji familia, ushirikina na wazazi kutengana zikitajwa kuwa ni sababu. Na Cosmas Clement Shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) lililopo wilayani Pangani…

10 June 2024, 9:28 pm

Pangani kuanza mradi, nishati safi ya kupikia

Mradi wa nishati safi ya kupikia utawawezesha wananchi wa Pangani kunufaika na biashara ya hewa ya ukaa. Na Majabu Madiwa Shirika la kuhifadhi misitu ya asili nchini Tanzania (TFCG) limeanza kutambulisha mradi wa nishati safi katika halmashauri ya Wilaya ya…

6 June 2024, 11:23 am

Tuirithishe elimu ya mazingira kwa watoto wetu

Watoto na vijana wakipata elimu ya utunzaji na uhifadhi misitu watakuwa mabalozi wazuri kuhakikisha misitu inakuwepo. Na Hamisi Makungu Jamii imeshauriwa kurithisha elimu ya utunzaji na uhifadhi wa misitu kwa kizazi kichanga ili kuwezesha uendelevu wa hifadhi na misitu hapa…

6 June 2024, 11:10 am

Pangani yaadhimisha siku ya mazingira

Upo umuhimu mkubwa kwa jamii hasa vijana kuelewa na kushriki katika utunzaji wa mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Na Majabu Madiwa Wilaya ya Pangani imeanzisha kampeni maalum ya usafi itakayoshindanisha vitongoji ili kuimarisha hali ya…

6 June 2024, 10:43 am

Mwanaume afiriki akitafutia familia

Kila mwaka katika miezi mitatu kuanzia Aprili wilaya ya Pangani imekuwa ikiandikisha ajali kadhaa za baharini zinazochukua makumi ya wakazi wa wilaya hiyo. Na Hamisi Mkungu Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la AWESO SALIM MOHAMMED maarufu Aweso Rungo amefariki akiendelea…

4 June 2024, 2:34 pm

Pangani kuja na mkakati kabambe wa usafi

Ni zaidi ya muongo mmoja umepita bila ya uwepo wa utatibu wa mdhabuni wa ukusanyaji taka hivyo kupelekea changamoto ya taka kuzaga katika mji wa Pangani kujaa. Na Saa Zumo Halmashauri ya wilaya ya Pangani imesema inaandaa mpango wa kudhibiti…

4 June 2024, 2:03 pm

Je, unaijua hatari ya kuchoka kwa bana ya jiko lako?

Matumizi ya jiko la gesi lenye bana iliyochoka inaweza kusababisha gesi kuvuja na kusambaa ndani ya chumba au nyumba kama mtumiaji akiwasha bila kuacha nafasi ya gesi kuondoka inaweza kusababisha moto kuwaka. Na Hamisi Makungu Jamii imetakiwa kuzingatia matumizi salama…

4 June 2024, 10:08 am

Ni hatari kutozima chombo cha moto ukiwa sheli

Usalama dhidi ya moto ni pamoja na madereva wa vyombo vya moto kujua na kuzingatia maelekezo yakuzima vyombo vyao vya moto wanapokuwa katika vituo vya kuongezea mafuta. Na Majabu Madiwa Waendeshaji wa Vyombo vya Moto Wilaya ya Pangani wametakiwa kuzima…

Coverage

Comprising a Pangani cultural diversity of the radio reach a population of 2,045,205 ranging from community members to of 33 villages of Pangani district from small business entrepreneurs, local government representatives and neighboring districts of Muheza, Tanga Town, Korogwe, Handeni, Lushoto, Amani and some parts of Zanzibar.

Vision

Pangani district is a place where people enjoy good health and sociol economic well being and are empowered to utilise the benefits of their culture.

Mission

To be committed to a development process that facilitates the Pangani communities towards promotion and ownership of their development agenda through participatory program approaches and collaborations with partners.

“Facilitator for development approaches that listen to people and engage them to find solutions for themselves”

Through participatory approaches and engaging potential stakeholders, Pangani FM ensures balanced content over its 7-days 18-hours each day, Pangani FM broadcast schedule engages in participative dialogue on key social issues with community leaders, and the community at large provides a wide range of edutainment programs such as banjabeat, a popular Tulizana program focusing on the family, intimate partners issues; youth-participation forums; educational, community health, and cultural programs; sports coverage, and the opportunity for all to interact on air with current issues affecting themselves, their families and communities towards development and growth.

Contents.

Pangani FM radio platform plays a major role of making sure UZIKWASA’s
interventions are shared with the entire community and engage them in active social-dialogue.
The radio facilitates and informs communities about success and challenges in their lives and mobilizes them to take charge of their own development.
Through participatory approaches and strategically live broadcasting of community events and through interactive radio programs such advantageous manner which results to;

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.
Pangani FM facilitates reflective leadership to foster change in contributing to a growing movement of transformation beyond Pangani District.