Recent posts
11 October 2024, 4:09 pm
Jamii, serikali kushirikiana kumlinda mtoto
“Wito wangu kwa wadau ni kutunga sera ambazo zitakuwa na manufaa kwa kizazi cha sasa na baadae” Mwezeshaji kutoka Shirika la UZIKWASA Bwana Nickson Lutenda Na Kokutona Banyikila Jamii imeshauriwa kuendelea kushirikiana na serikali kutengeneza mifumo iliyo salama kwa ajili…
11 October 2024, 3:03 pm
Changamoto za kijamii zatajwa kuchangia tatizo la afya ya akili kwa watumishi
“Changamoto ya afya ya akili inaweza kumkuta mtu yeyote bila kujali cheo au nafasi yake” Mtaalam wa afya ya akili kutoka Hospitali ya Wilaya ya Pangani Vicent Tarimo Na Hamis Makungu Changamoto za kijamii ikiwemo hali ya kimaisha zimetajwa kuchangia…
11 October 2024, 2:43 pm
Dkt. Biteko awataka wazazi, walimu kutengeneza mazingira salama ya mtoto
“Samia wa kesho anajengwa na mzazi, mwalimu na mwanafunzi mwenyewe hivyo tuache tabia ya kutumia lugha ambazo zitawakatisha tamaa watoto wetu kuifikia kesho yenye mafanikio” Dokta Biteko Na Kokutona Banyikila Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dokta Dotto Biteko…
9 October 2024, 3:42 pm
MTAKUWWA Madanga kuendelea kuielimisha jamii madhara ya ukatili wa kijinsia
“Nitaendelea kufuatilia matukio ya ukatili na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua hatua” Diwani kata ya Madanga Mheshimwa Jumaa Haji Juma“ Na Kokutona Banyikila Wajumbe wa Kamati ya MTAKUWWA kata ya Madanga Wilayani Pangani Mkoani Tanga wameahidi kuendelea kuielimisha jamii juu ya…
8 October 2024, 3:53 pm
Michango hafifu ya chakula yatajwa kuathiri ujifunzaji wa watoto kitaaluma
Walimu wawaangukia wazazi michango ya chakula shuleni Na Hamis Makungu Michango hafifu ya chakula kwa wanafunzi shuleni na mahudhurio madogo ya wazazi na walezi katika vikao shuleni, kunatajwa kuathiri ujufunzaji wa watoto kitaaluma. Ameyasema hayo Mwalimu Mkuu wa Shule ya…
3 October 2024, 3:20 pm
Daraja mto Pangani kuwa mwarobaini wa ajali kwenye kivuko cha MV Tanga
Watu huvuka ng’ambo moja na nyingine ya mto Pangani kwa ajili ya mahitaji ya kibiashara,shughuli za uzalishaji mali, huduma za kiofisi kama vile ofisi ya halmashauri ya wilaya ya Pangani,huduma za kibenki,hospitali ya wilaya,soko kuu la mkoa Tangamano au stendi…
8 September 2024, 4:08 pm
Wakulima washindwa kulima, maji ya mto kuvamia mashamba yao
Baadhi ya wakulima wamelamizika kuazima mashamba ili kuendesha shughuli zao kutokana na mashamba yao kuvamiwa na maji ya mto Msangazi. Wakulima katika kijiji cha Mbulizaga wilayani Pangani wameiomba serikali kuwasaidia kutengeneza ukingo wa mto Msangazi uliopo kijijini hapo ambao ulivunja…
8 September 2024, 1:54 pm
Ulinzi wa misitu Pangani, wananchi kupata fursa mpya ya ajira
Tangu shirika la UZIKWASA lilipoanza kutoa elimu ya utengenezaji wa majiko banifu jamii imeonesha uhitaji mkubwa wa majiko hayo kutokana na kutumia kuni chache hivyo kuanzisha fursa mpya ya ujira kwa wanajamii wilayani Pangani. Na Cosmas Clement Wajumbe wa kamati…
2 September 2024, 6:30 pm
Jinsi mikoko inavyotumiwa na wageni kuwa sehemu ya haja katika kijiji cha Kipumb…
Kijiji cha Kipumbwi miongoni mwa vijiji vinavyoongoza kwa ukusanyaji wa mapato katika halmashauri ya wilaya ya Pangani, ina choo kimoja cha wageni chenye matundu 11. Na Cosmas Clement Wananchi wa Kijiji cha Kipumbwi wilayani Pangani wameiomba serikali kujenga vyoo kwa…
30 August 2024, 10:10 pm
Kupinga ukatili kunalipa, RC Tanga aipongeza UZIKWASA
Shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) limekuwa likifanya kazi ya kuwezesha jamii juu ya masuala ya kijinsia ndani na nje ya wilaya ya Pangani. Na Majabu Madiwa Kikao cha mwaka cha mashirika yasiyo ya kiserikali chafanyika mkoani Tanga huku mashirika…