Recent posts
11 August 2022, 5:25 pm
Wakenya wengi wasusia Uchaguzi 2022.
Nchini Kenya leo ni siku ya 2 tangu wananchi wake walipopanga mstari kuelekea masanduku ya kupiga kura kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi mkuu wa 2022 mara baada ya kampeni kukamilika. Vyombo vya habari nchini humo vinajaribu kufanya hesabu za kumjua…
26 July 2022, 6:55 pm
Funguni Sekondari yapokea Milioni Mia Mbili za Mabweni.
Shule ya Sekondari Funguni iliyopo Wilayani Pangani mkoani Tanga imepokea kiasi cha pesa shilingi millioni mia mbili kwa ajili ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wakike na wakiume. Akizungumza na Pangni FM katibu tawala Wilaya ya Pangani Mwalimu Hassani Nyange…
25 July 2022, 1:11 pm
Wanawake na Sensa 2022
Habari, Karibu kusikiliza Podcast ya Pangani FM juu ya Ushiriki wa Wanawake katika Sensa ya Watu na Makazi 2022.
6 July 2022, 5:52 pm
Aweso atembelea mradi wa Barabara ya Tanga-Pangani-Bagamoyo
Mapema leo Mhe Mbunge wa Jimbo la Pangani Jumaa Hamidu Aweso amefanya ziara ya kujionea, kukagua na kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Tanga-Pangani. Akiwa kijiji cha Choba pia amezungumza na wananchi wa eneo hilo…
6 July 2022, 5:10 pm
Shule za Pangani zafanya vizuri matokeo ya kidato cha Sita 2022.
Baraza la mitihani nchini NECTA hapo jana limetangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2022. Matokeo hayo yamezionyesha shule za wilaya ya Pangani kufanya vizuri. Jumanne Julai 5 Mbunge wa Jimbo la Pangani Mh. Jumaa Hamidu Aweso amefanya…
30 June 2022, 7:03 pm
Mwili wa mtu mmoja waokotwa ukiwa umeharibika Pangani.
Jeshi la Polisi Wilayani Pangani Mkoani Tanga limethibitisha kuokotwa kwa mwili wa mtu moja Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 24 hadi 25 aliyefahamika kwa jina Kombo Juma katika eneo la Kumba Mtoni lililopo kwenye kijiji cha Pangani…
30 June 2022, 11:11 am
Wakulima Pangani kupima hali ya Udongo wa Mashamba yao.
Wakulima wilayani Pangani mkoani Tanga wameshauriwa kuwa na utaratibu wa kupima hali ya afya ya udongo katika mashamba yao ili kutambua njia bora ya kusimamia ukuaji wa mazao yao na kuongeza tija katika shughuli zao za kilimo. Hayo yamezungumza na…
28 June 2022, 6:30 pm
Marufuku Bidhaa za Misitu kubebwa kwenye Pikipiki Pangani.
Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wilayani Pangani mkoani Tanga imepiga marufuku ubebaji wa mazao ya misitu ikiwemo mkaa kwa kutumia pikipiki ikiwa ni sehemu ya kupunguza mianya ya utoroshaji wa mazao hayo kwa njia za magendo. Afisa mhifadhi wa…
22 June 2022, 1:31 pm
Wazazi wa Pangani na matumizi ya Simu kwa watoto wao.
Wazazi na Walezi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kutowapa watoto wao uhuru wa kupitiliza kwenye Matumizi ya simu za mkononi sababu zinaweza kuwa moja sababu ya kuwaharibu kimaadili. Pangani FM imezungumza na wazazi pamoja na walezi wa kijiji cha Kimang’a…
20 June 2022, 7:09 pm
Pangani FM kuongeza nguvu katika Sensa 2022
Kituo cha Redio Pangani FM kilichopo wilayani Pangani mkoani Tanga kinatarajia kuongeza nguvu katika kuisaidia serikali kufanikisha zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022. Hayo yameelezwa na mhariri wa kituo hicho Bw. Erick Mallya kufuatia mafunzo maalum…