Recent posts
18 February 2023, 4:05 pm
AKA alikuwa kama Diamond kwa Afrika Kusini
Na Erick Mallya Siku ya Ijumaa, ibada ya kumbukumbu ambayo ilikuwa wazi kwa umma ilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Sandton, Johanesburg nchini Afrika Kusini katika kuadhimisha maisha ya msanii huyo na mchango wake katika tasnia ya muziki ya Afrika…
16 February 2023, 4:09 pm
Ombi la Aweso kwa Mkuu wa wilaya ya Pangani
Na Saa Zumo Mbunge wa Jimb la Pangani Mkoani Tanga Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso amemshauri mkuu wa wilaya ya Pangani Bi. Zainabu Abdalla kuliweka suala la kushughulikia changamoto zilizopo katika Hospitali ya Halmashaur ya wilaya hiyo katika moja ya vipaumbele…
15 February 2023, 4:55 pm
Hatua zaanza dhidi ya athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake Pangani
Na Erick Mallya Wadau mbalimbali wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuogeza jitihada zao katika utunzaji wa mazingira na kuiwezesha jamii kushiriki kikamilifu katika kuzuia na kustahimili mabadiliko ya tabia nchi ili kuwanusuru wanawake dhidi ya masaibu mbalimbali wanayokutana nayo ambayo…
14 February 2023, 9:41 pm
Huku PSG vs Bayern Munich huku AC Milan vs Spurs: uchambuzi toka Pangani
Na Erick Mallya Barani ulaya hii leo wapenzi wa soka watakuwa wameelekeza hisia zao pale katika dimba la parc des Princes Ufaransa katika mchezo wa hatua ya 16 bora kati ya PSG na Bayern Munich mchezo uliosubiriwa kwa hamu kubwa…
13 February 2023, 4:32 pm
UZIKWASA yapongezwa kwa hili 2023
Na Erick Mallya Wadau mbalimbali wa mazingira wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelishukuru shirika la UZIKWASA kwa kuanza kutoa mafunzo ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi pamoja na utunzaji wa mazingira wilayani humo. Kuanzia Februari 7 mpaka 10 shirika hilo…
10 February 2023, 10:37 am
Suluhisho la migogoro ya Ardhi na uharibifu wa mazingira Pangani
Katika ngazi ya kijiji mamlaka inayohusika na maandalizi ya mpango wa matumizi ya ardhi ya kijiji ni halmashauri ya Kijiji ambayo inaweza kufanya utekelezaji wake kupitia kamati ya usimamizi na matumizi ya ardhi. Na Erick Mallya Serikali ya kijiji cha…
8 February 2023, 12:08 pm
Yaliyoibuka kwenye ziara ya kushtukiza ya DC kwenye soko la Pangani
Soko la Pangani liko kwenye maboresho makubwa yaliyoplekea kituo cha mabasi ya Pangani-Tanga na Pangani-Muheza kilichokuwa ndani ya Soko hilo kuhamishwa ili kupisha maboresho hayo. Kwa miaka mingi soko hilo limekuwa taswira ya mji wa Pangani na kituo maarufu kwa…
2 February 2023, 9:01 pm
Mkuu wa wilaya atoa agizo hili katika Sheria Pangani.
Na Saa Zumo kushirikiana na Erick Mallya Kauli mbiu ya wiki ya Sheria mwaka 2023 ni ‘Umuhimu wa Utatuzi wa Migogoro kwa Njia ya Usuluhishi Katika Kukuza Uchumi Endelevu: Wajibu wa Mahakama na Wadau.’ Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi.…
31 January 2023, 11:56 am
DAS Pangani atangaza hatua dhidi ya wazazi wasiochangia chakula Shuleni
Jumla ya wanafunzi 280 walifanya mitihani ya Darasa la Saba mwaka 2022 katika shule ya msingi Kipumbwi. Waliochaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari ni 219 na ambao hawakufanikiwa kupata alama za kutosha kuendelea na elimu ya Sekondari ni 61. Na…
30 January 2023, 12:29 pm
Wakulima Pangani wanavyotumia redio kustahimili mabadiliko ya tabianchi
Mabadiliko ya tabianchi yameleta changamoto nyingi katika mifumo ya uzalishaji na hata maisha ya kila siku. Hali hii inafanya upatikanaji wa taarifa na huduma za hali ya hewa kuwa suala la msingi na la dharura. Na Erick Mallya Wataalamu wamethibitisha…