Pangani FM
Wanandoa Tanga wahatarisha afya zao kisa mahusiano
25 October 2024, 4:29 pm
Katika harakati za baadhi ya wanandoa wilaya ya Pangani mkoani Tanga kuhakikisha wanalinda mahusiano yao hulazimika kushiriki kinyume na maumbile ili kuwaridhisha wenzao wao.
Ungana na msimulizi wetu Hamisi Makungu kupata kisa hicho ambapo utapata nafasi ya kuwasikia viongozi wa dini na wataalam wa afya wakielezea athari zake hasa linapokuja suala la afya ya uzazi.