Recent posts
15 October 2023, 1:32 pm
Pangani watakiwa kufanyia kazi taarifa za majanga ya asili
“Ni vyema wananchi wakachukua tahadhari wanapoona viashiria vya majanga na pia kuepuka kujenga nyumba kiholela.” Na Catheline Sekibaha Wananchi wilayani Pangani mkoani Tanga wametakiwa kuchukua tahadhari wanapopewa taarifa za uwepo wa viashiria vya matukio ya majanga ya asili ili kuepusha…
13 October 2023, 5:17 pm
Wanafunzi tisa wakumbwa na kamata kamata utoro sugu katika kijiji cha Kimang’…
“Tumeanza na Wanafunzi wa Shule za Msingi kwasasa tatizo hilo limepungutunajipanga kukabiliana na tatizo la utoro kwa wanafunzi wa sekondari” Diwani kata ya Kimang’a Mheshimiwa SALIMU MWANDARO Na Saa Zumo Wanafunzi tisa wanaosoma elimu ya Sekondari katika Kijiji cha Kimang’a…
12 October 2023, 4:00 pm
Wito: Wenza jadilianeni pamoja kuimarisha mahusiano
Wenza wametakiwa kuzungumza kwa pamoja changamoto wanazokutana nazo kwenye mahusiano ili waweze kupata msaada wa kutatua changamoto hizo. Na Mariam Ally Wakiongea na kituo hiki kupitia kipindi cha Busati la wenza wawezeshaji ngazi ya jamii kutoka katika kijiji cha Mwera…
11 October 2023, 4:49 pm
Mimba za utotoni zaendelea kumkwamisha mtoto wa kike
Picha kwa hisani ya mitandao ya kijamii “Watoto wetu wamekuwa wakibakwa, wamekuwa wakipata mimba za utotoni hili ni eneo ambalo tunataka kusimamia kwa miguu miwili kupaza sauti kwa kushirikiana na wadau wengine ili elimu iwafikie watu wengi na hivi vitendo…
11 October 2023, 4:08 pm
Jeshi la polisi latoa ahadi kuendelea kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia…
” Siku hii inalipa nguvu Jeshi la Polisi kupaza sauti ya kukabiliana ukatili kwa mtoto wa kike” Na Saa Zumo Jeshi la polisi katika Wilayani Pangani Mkoani Tanga limetoa ahadi ya kuendelea kupaza sauti kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia…
10 October 2023, 5:48 pm
Pangani kupata usafiri wa majini wa uhakika
“Fanyeni kazi mkiwa na amani, hayo mengine mlionieleza mimi ni mlezi wenu nitakwenda kuyashughulikia.“ Na Saa Zumo Halmashauri ya Pangani mkoani Tanga iko mbioni kupata uhakika wa usafiri wa majini baada ya kufanya mazungumzo na wawekezaji wa usafirishaji wa majini.…
10 October 2023, 2:50 pm
Elimu yahitajika kukomesha unyanyapaa kwa wagonjwa wa afya ya akili
“Magonjwa ya afya ya akili yanatibika iwapo utabaini mapema na kuanza matibabu“ Na Mwandishi wetu Kukosekana kwa elimu ya kutosha kwenye jamii juu ya magonjwa ya afya ya akili kumechangia unyanyapaa kwa watu wanaougua magonjwa hayo. Hayo yamesemwa na mwanasaikologia…
9 October 2023, 2:36 pm
Wadau wa sekta ya uvuvi Pangani watakiwa kushirikiana kulinda rasilimali za baha…
“Tungekuwa tumepata elimu mapema, tungejua wa kulia nae” Na Abdilhalim Shukran Wataalamu wa sekta ya Uvivi wilayani Pangani wametakiwa kushirikiana na wavuvi kuimarisha jitihada za kulinda rasilimali za bahari. Ushauri huo umetolewa na wadau wa sekta ya uvuvi katika wilaya…
8 October 2023, 2:24 pm
Halmashauri zilizopo ndani ya mkoa wa Tanga zaagizwa kusajili vikundi vya bodabo…
“Serikali haiwezi kuwanunulia pikipiki kama hamjajisajili kwenye vikundi” Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga Ndugu Rajabu Abrahaman amezitaka Halmashauri zilizopo ndani ya mkoa wa Tanga kusajili vikundi vya bodaboda ili kuviwezesha kunufaikia na fursa mbalimbali. Ndugu Rajabu ameyasema…
6 October 2023, 2:25 pm
Pangani watakiwa kutibu maji ya mvua kabla ya kuyatumia
Maji ya mvua yanakuwa salama iwapo tu yatakingwa moja kwa moja wakati wa mvua. Na Mariam Ally Wananchi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuyatibu maji ya mnvua kabla ya kutumia na kuepukana na dhana kuwa maji hayo ni salama wakati…