Pangani FM

Recent posts

30 August 2024, 10:10 pm

Kupinga ukatili kunalipa, RC Tanga aipongeza UZIKWASA

Shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) limekuwa likifanya kazi ya kuwezesha jamii juu ya masuala ya kijinsia ndani na nje ya wilaya ya Pangani. Na Majabu Madiwa Kikao cha mwaka cha mashirika yasiyo ya kiserikali chafanyika mkoani Tanga huku mashirika…

29 August 2024, 3:17 pm

TCRA kuwabaini wezi wa ‘tuma kwa namba hii’

Uhalifu wa kimtandao umekuwa ukichukua sura mpya siku hadi siku ingawa serikali imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kukabiliana nao. Na Cosmas Clement Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  amewaasa wanajamii kuwa makini na  matumizi ya mitandao ili kulinda usalama wa mali zao…

29 August 2024, 12:27 pm

Jinsi bodaboda walivyobadili mtazamo wa jamii wilayani Pangani

Shirika la Uzima Kwa Sanaa (UZIKWASA) limekuwa likiwezesha kundi hilo la bodaboda wilayani Pangani hivyo kuwezesha kubadili tabia za vijana hao ambao awali baadhi yao walikuwa wakihusishwa na vitendo vya ukatili kwa wasichana. Na Majabu Ally Bodaboda wilayani Pangani mkoani…

16 August 2024, 1:57 pm

Shirika la TFCG kutambulisha mradi wa nishati safi wilayani Pangani

Kutoka kushoto mwenye shati la kijivu mikono mirefu ni afisa mazingira halmashauri ya wilaya ya Pangani akiwa katika kituo cha redio Pangani FM. Serikali imekuwa ikiendelea kutekeleza mkakati wa matumizi ya nishati safi kwa kushirikiana na mashirika na wadau mbalimbali…

8 August 2024, 6:21 pm

Waziri Juma Aweso aipongeza Pangani FM

Mpaka sasa ni miaka kumi na tatu tangu Pangani FM ilipoanza kurusha matangazo mwaka 2011. Na Majabu Ally Waziri wa Maji na Mbunge wa jimbo la Pangani Mh. Jumaa Hamidu Aweso ameipongeza Pangani FM kwa kutimiza miaka kumi na tatu…

8 August 2024, 5:39 pm

Safari ya miaka 13 ya Pangani FM yawavutia wadau

Pangani FM ilianza kurusha matangazo yake rasmi tarehe 08 Agosti 2011 ikiwezesha jamii katika masuala ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni ikitumika kama daraja kati ya wanajamii na viongozi wao. Na Kokutona Banyikila Ikiwa leo kituo cha matangazo cha Pangani FM…

5 August 2024, 6:32 pm

Wazazi Pangani waaswa kuhudhuria vikao vya shule

Shirika la Uzima kwa Sanaa ( UZIKWASA) Limekuwa na utaratibu wa kutoa mafunzo kwa walimu ili kuwajengea uwezo wa kuwalinda wananfunzi dhidi ya ukatili wa kijinsia. Na Saa Zumo Wazazi kutoudhuria vikao vya shule kunatajwa kukwamisha maendeleo ya taaluma kwa…

3 August 2024, 4:11 pm

Madiwani Pangani DC waaswa kuongeza nguvu ukusanyaji wa mapato

Mwaka wa fedha 2023/24 halmashauri ya wilaya ya Pangani ilikuwa asilimia 95 ya makisio ya bajeti kwa mwaka huo wa fedha. Na Cosmas Clement Wataalamu na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani  wameaswa kuboresha kiwango cha ukusanyaji wa mapato…

31 July 2024, 4:33 pm

Kura 17 za ndio zampitisha makamu mwenyekiti Pangani DC

Ni kawaida kila mwaka wa fedha baraza la madiwani hupiga kura kumchagua makamu mwenyekiti wa halmashauri anayeongoza kwa mwaka mmoja. Na Cosmas Clement Baraza la Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Pangani July 31 2024 limempitisha kwa mara nyingine Mheshimiwa…

Coverage

Comprising a Pangani cultural diversity of the radio reach a population of 2,045,205 ranging from community members to of 33 villages of Pangani district from small business entrepreneurs, local government representatives and neighboring districts of Muheza, Tanga Town, Korogwe, Handeni, Lushoto, Amani and some parts of Zanzibar.

Vision

Pangani district is a place where people enjoy good health and sociol economic well being and are empowered to utilise the benefits of their culture.

Mission

To be committed to a development process that facilitates the Pangani communities towards promotion and ownership of their development agenda through participatory program approaches and collaborations with partners.

“Facilitator for development approaches that listen to people and engage them to find solutions for themselves”

Through participatory approaches and engaging potential stakeholders, Pangani FM ensures balanced content over its 7-days 18-hours each day, Pangani FM broadcast schedule engages in participative dialogue on key social issues with community leaders, and the community at large provides a wide range of edutainment programs such as banjabeat, a popular Tulizana program focusing on the family, intimate partners issues; youth-participation forums; educational, community health, and cultural programs; sports coverage, and the opportunity for all to interact on air with current issues affecting themselves, their families and communities towards development and growth.

Contents.

Pangani FM radio platform plays a major role of making sure UZIKWASA’s
interventions are shared with the entire community and engage them in active social-dialogue.
The radio facilitates and informs communities about success and challenges in their lives and mobilizes them to take charge of their own development.
Through participatory approaches and strategically live broadcasting of community events and through interactive radio programs such advantageous manner which results to;

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.

Empower community to take charge of their own development using local resources and promote good leadership.
Sharing the learning from intervention approaches that build self-awareness.
Pangani FM facilitates reflective leadership to foster change in contributing to a growing movement of transformation beyond Pangani District.