Recent posts
29 March 2022, 6:04 pm
DRC kujiunga rasmi na Jumuiya ya Afrika Mashariki
Hatimaye miezi mitatu baada ya Mkutano wa 18 wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki kuridhia ombi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kujiunga na jumuiya hiyo, baada ya kujiridhisha na kuona zipo faida za moja kwa moja…
28 March 2022, 4:14 pm
Jela miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono watoto Pangani.
Mahakama ya wilaya Pangani imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Sideti Itekno baada ya kupatikana na shataka la kufanya udhalilishaji wa kingono. Katika hati ya mashtaka iliyowasilishwa na polisi mahakamani hapo ilidaiwa kuwa mnamo tarehe 7 mwezi wa 2 mwaka…
23 February 2022, 8:05 pm
Tembo ahisiwa kuua mtu Pangani
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina Shaa Omari mwenye umri wa miaka 30 amekutwa akiwa amefariki katika eneo la Kumba Mtoni lililopo wilayani Pangai Mkoani Tanga. Pangani FM imezungumza na kamanda wa Polisi wilaya ya Pangani bwana Cristopher Msofe ambaye amethibitisha…
22 February 2022, 7:13 pm
Majeruhi ajali ya Saadani wapokelewa Pangani.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga Dkt. HASSANI MSAFIRI amesema Majeruhi Wawili katika Ajali iliyotokea Jana maeneo ya SAADANI wamepewa Rufaa ya kwenda Hospitali ya Mkoa BOMBO na wengine bado wanaendelea kupatiwa Matibabu Hospitalini hapo. Akizungumza…
22 February 2022, 7:03 pm
Halmashauri Pangani yatoa ufafanuzi kupanda kwa bei ya nafaka na vifaa vya ujenz…
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga imeendelea kushuhudia kupanda kwa bei za baadhi ya bidhaa ikiwemo za Nafaka na Vifaa vya Ujenzi huku ongezeko hilo likitajwa kuwa ni kutokana na hali ya uzalishaji nchini. Hayo yameelezwa hii leo na…
19 February 2022, 3:50 pm
OCD Pangani atoa onyo kwa wamiliki wa majahazi.
Wamiliki na manahodha wa majahazi ya mizigo wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuzingatia sheria ya Usafirishaji kwa kuacha kubeba abiria katika vyombo vya mizigo. Hapo jana Mkuu wa Jeshi la Polisi wilayani Pangani Mkoani Tanga alifika katika studio za Pangani…
17 December 2021, 6:45 pm
Viongozi wa Redio Jamii wajengewa uwezo Pangani.
Mafunzo ya kujitathimini kwa Wadau, Waandishi wa Habari na Viongozi wa Radio za Kijamii Nchini yafikia tamati hii leo. Washiriki wa Mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Shirika la Uzikwasa kwa Siku tatu mfululizo hapa Wilayani Pangani Mkoani Tanga, wameyataja Mafunzo hayo…
16 November 2021, 1:34 pm
Tozo za miamala kujenga Kituo cha Afya cha Madanga.
Halmashauri ya Wilaya ya Pangani imepokea kiasi cha fedha Shilingi Milioni 250 kutoka katika mgao wa fedha zotokanazo na tozo za miamala ya simu. Akizungumza na Pangani FM Mkurugenzi wa Hlamshauri ya Wilaya ya Pangani Bw. Isaya Mbenje amesema kuwa…
16 November 2021, 1:11 pm
Pangani kutumia Milioni 35 kuwalinda Wanafuzi dhidi ya Uviko-19.
Halamshauri ya wilaya ya Pangani inajipanga kutumia kiasi cha fedha Shilingi Milioni 35 kujenga miundombinu ya kuwezesha wanafunzi kunawa mikono katika shuleni kama hatua ya ujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona. Katika mazungumzo aliyofanya na Pangani FM Mkurugenzi wa…