Recent posts
14 June 2022, 1:38 pm
Wenye Ualbino waeleza matarajio yao kwenye Bajeti ya 2022/2023
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwasilisha bungeni bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. – Katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, serikali inatarajia kutumia shilingi trilioni 41 sawa na ongezeko la asilimia…
7 June 2022, 1:46 pm
Halmashauri ya Pangani kugawa miche 544,000 ya Mkonge.
Halmashauri ya wilaya ya Pangani mkoani Tanga kupitia idara ya Kilimo imefanikiwa kukuza miche 544,000 ya zao la Mkonge. Akizungumza katika mahojiano na Pangani FM leo Afisa kilimo wa Halmashauri hiyo Bw. Ramadhani Zuberi amesema miche hiyo imekuzwa katika vitalu…
6 June 2022, 7:12 pm
IRISH AID yafurahishwa na kazi za UZIKWASA Pangani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ireland, Bw. Joe Hackett, amefanya ziara wilayani Pangani Mkoani Tanga akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Ireland (Irish Aid), Bw. Michael Gaffey. Katibu huyo amefika katika kijiji cha…
6 June 2022, 5:10 pm
Miche 300 ya Mivinje yapandwa Pangani kuadhimisha siku ya mazingira.
Viongozi mbalimbali wa wilaya ya Pangani wamejitokeza katika zoezi maalum la upandaji miti kama sehemu ya kuadhimisha siku ya mazingira mwaka 2022. Zoezi hilo lililofanyika katika fukwe za eneo la Pangadeco limewezesha upandaji wa miche 300 ya miti aina…
3 June 2022, 12:02 pm
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ireland kutembelea Pangani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ireland, Bw. Joe Hackett, anafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 3 mpaka 5 Juni 2022, akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Ireland (Irish Aid), Bw. Michael Gaffey. Ziara…
30 May 2022, 6:54 pm
Kilimo cha umwagiliaji chawanusuru wanawake dhidi ya ukatili Pangani.
Baadhi ya wanawake wanaojishughulisha na kilimo cha umwagiliaji katika bonde la mauya lililopo katika kijiji cha mseko wilayani pangani mkoani Tanga wameshukuru kwa kuwezeshwa kufanya kilimo hicho kwa faida kwani kwa sasa kimekua kikichangia kuwainua kiuchumi. Wakizungumza na Pangani FM…
24 May 2022, 8:08 pm
Ubalozi wa Ireland wafanya ziara Pangani.
Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania jana umefika hapa wilayani Pangani Mkoani Tanga ili kujionea Shughuli mbalimbali zinazofanywa na Shirika la UZIKWASA ambalo linafadhiliwa na mpango maalum wa Serikali ya Ireland wa misaada ya maendeleo ya kimataifa [Irish Aid]. …
14 May 2022, 5:43 pm
Vikundi vya Pangani kunufaika na Uchumi wa Bluu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani Bwana Isaya Mbenje amesema wilaya imeanza kujiandaa kunufaika na sera ya uchumi wa blue kwa kuunda vikundi mbalimbali vinavyohusika na rasimimali za bahari. Akizungumza na Pangani Bwana Mbenje amesema kuwa tayari kwa wilaya…
15 April 2022, 7:46 pm
Wanafunzi watakiwa kuwa makini kipindi cha likizo ya Pasaka.
Wito umetolewa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani Pangani mkoani Tanga kuwa makini na kuzingatia tahadhari zote dhidi ya vishawishi vibaya katika kipindi hiki ambacho wapo kwenye mapumziko mafupi ya sikukuu za Pasaka. Wito huo umetolewa…
4 April 2022, 4:59 pm
Halmashauri ya Pangani yazindua kampeni ya upandaji miti.
Halmashuri ya wilaya ya pangani mkoani Tanga imezindua kampeni ya upandaji miti kiwilaya kwa kuhimiza wananchi kupanda miche ya miti mitano kwa kila kaya na kuhakikisha miche hiyo inatunzwa ilikuleta ustawi himilivu wa mazingira . Wakizungumza wakati wa kuzindua kampeni…