Pangani FM

Hivi ndivyo mabinti waliokatika masomo Kwa ujauzito wanavyoitumia fursa ya kurejea shule

29 October 2024, 10:50 pm

baadhi ya mabinti wakiendelea kufuatilia masomo. picha na Majabu Madiwa

Mabinti waliokatiza masomo yao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wanaonekana kuridhia kurejea kuendelea na masomo Baada ya kutolewa fursa ya kurejea shule iliyotolewa na serikali chini ya Raisi Dokta Samia Suluhu Hassan

Je mabinti hao wanaizungumziaje fursa hiyo na wanakumbwa na Changamoto gani katika safari hii kielimu ?

Ungana na Majabu Madiwa amekuandalia makala yafuatayo