Pangani FM
Pangani FM
5 December 2025, 5:45 pm

Na Hamisi Makungu.
Kipindi cha Sauti ya Mwanamke kimeangazia Mabadiliko ya tabianchi yanavyopelekea ukatili wa kijinsia, hasa kwa wanawake waliopo kwenye mnyororo wa uchumi wa buluu.
Katika Mjadala kupitia kipindi hiki, wanawake wachuuzi wa Samaki wamepaza sauti zao juu ya vitendo vya ukatili wanavyokutana navyo kutoka kwa baadhi ya manahodha wa vyombo vya uvuvi msimu wa kambi za uvuvi.
Kufahamu mengi, sikiliza Kipindi hiki…