Pangani FM

Je wazazi wanawajibika kuwalinda watoto dhidi ya ukatili?

18 June 2025, 1:24 pm

Katibu tawala wilaya ya Pangani Esta Zulu Gama aliyesimama katikati

Matukio ya ukatili kwa watoto ni miongoni mwa matukio yanayodidimiza mustakabali wa ustawi bora kwa watoto.

Na Hamisi Makungu

Wazazi na walezi wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kuwa makini na kuwalinda watoto wao dhidi ya vitendo vya Ubakaji na ulawiti ambavyo vimeonekena vikiendelea kutoa wilayani Pangan.

Hayo yamebeinishwa na Katibu tawala wilaya ya Pangani Esta Zulu Gama wakati wa maadhimisho wa siku ya mtoto wa Afrika ambayo kiwilaya imeadhimishwa Juni 16 katika kijiji cha Kikokwe.

Sauti ya katibu tawala wilaya ya Pangani Esta Zulu Gama