Pangani FM
Pangani FM
8 May 2025, 2:32 pm

Na Cosmas Mwamposa & Catherine Sekibaha
Mpango wa matumizi bora ya ardhi, ni miongoni mwa sheria zinazogawa kwa usawa maeneo ya kijiji, ama mji kulingana na mahitaji ya eneo husika. Mpango husaidia matumizi endeleevu ya rasilimali zilizopo katika eneo husika.
Kupitia makala hii utasikiliza jinsi mpango huu unavyoweza kuchangia ulinzi wa vyanzo vya maji vijijini.