Pangani FM
Taka ngumu zinavyoibua fursa ya ajira Pangani-Makala
22 November 2024, 12:09 pm
Imezoeleka sana kuwa bidhaa inapotumika mabaki yake hutupwa kwa kuwa yanaonekana kuisha kwa thamani yake ya awali hivyo kuzagaa mtaani na kuifanya mitaa ya miji na hata katika vyanzo vya maji kujaa taka jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa afya za wakazi.
Taka huzalishwa kwa wingi kila siku lakini taka zinazofikishwa dampo ni chini ya asilimi 50, wingi wa taka ngumu huweza kuzalisha ajira na kuufanya mji kuwa safi kwa kutengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na taka hizo.
Makala ifuatayo itakufumbua macho jinsi taka ngumu zinavyoweza kuzalisha ajira.