Pangani FM
Wanawake na uhifadhi walivyookoa bioanuai na spishi adimu
23 October 2024, 6:29 pm
Ushirikishwaji wa wanawake katika masuala ya uhifadhi ulivyookoa maisha ya bioanuai na spishi adimu katika hifadhi ya misitu wa mazingira asilia Amani wilayani Muheza mkoani Tanga.
Kuachwa nyuma wanawake kwa miaka mingi kulichangia misitu na viumbe vilivyopo ndani ya hifadhi hiyo kuathirika pakubwa, lakini ushiriki wao kwa sasa kumeleta tumaini endelevu la bioanuai mbalimbali.
Kufahamu mengi sikiliza makala iliyoandaliwa na mtangazaji Hamisi Makungu Hamisi wa Pangani FM Radio.